Raha lakin mbona naumia?

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,666
19,674
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.
 
Sasa kwa hii thread unahitaji ushauri wa kitabibu? Au sijaelewa hususani uliondika kwa herufi kubwa? Peleka kwenye mahusiano........
 
kuumwa kichwa ni mahusiano au ugonjwa?.kama huna cha kuongea kaa kimya.huyu hadi ameamua kuja hapa ina maana kuna tatizo.mi nampa pole asubili dr.Riwa anakuja.atamsaidia.mia
 
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.

Hangover ya K.
 
Uwe unakwenda na panadol unapokuwa naye! ama jifunge madrip kabla ya mchezo manake uhusiano wake hapo labda unafiria sana namna ya kumhudumia kwenye mchezo hadi unaumiza kichwa!!!!!!jokee
 
Je umeoa? au huyo msichana unatarajia kumuoa au kumchezea? Basi hiyo ni adhabu toka kwa Mungu, unatakiwa kuacha kufanya mapenzi mara moja kabla ya ndoa. umenipata mkuu?
 
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.
Jini hilo.
 
Ss hapo tutakushauri nn zaidi ya kukwambia umelogwa?
 
Habari zenu wana jF.Bila kuchelewa ngoja niwasilishe tatizo langu.Nina mpenz wangu nampenda sana pia kutokana na usafi wake wa hali juu huwa ananifanya nijisikie hamu ya kushea nae mwili(kufanya) na huwa nasherekea sana coz ni mtamu sana tofauti na wasichana wengne ambao niliyekwishakuwa nae before.TATIZO LINAKUJA NI PALE NIKIAMKA KESHO YAKE YA SIKU AMBAYO TULIFANYA KICHWA KINANIUMA SANA NA HII hali ngeni kwangu.NISAIDIENI NICHUKUE HATUA GANI KUEPUKA tatizo hili ila NAMPENDA SANA.

wewe una injunji K (vinyota nyota mganga kasema nisiviweke) yake, yeye ana njunji kichwa chako. Kudadadadeki
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom