hawa ni wale ambao wanaigiza kwenye kipindi cha mwana yule jamaa mfupi ,kipindi chao kinaitwa Inspekta mwana.
sio askaari ila uwa wanavaa nguo za polisi ni waigizaji tu.
Na iki kipind kishachukua tuzo sababu ya kuonyesha polis wanavyokabiliana na ukora ( uwizi au uhalifu)