Cc mahondawKwayeyote yule ambaye hakupata upendo kwenye mahusiano.kama mm mwanzo kweli tulikosa mambo mengi ...!!naomba kusema kwamba nafaidi sana na kufurahia sana.raha ya mahusiano ,mmpendane ,muheshimiane...mkosoane,muelimishane,!!
Mungu amuweke huyu mtu aliyeniletea huu upendo.
Wanafanya juu chini kuleta maneno ya uchochezi ili mrad tu muachane...mm hua nawaambia fanya yako yangu hayakuhusu[emoji28]Hahahaaaa. Wanavyokuwa wanaungua lol
Hahahaa. Hatari sana.Wanafanya juu chini kuleta maneno ya uchochezi ili mrad tu muachane...mm hua nawaambia fanya yako yangu hayakuhusu[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Love, oh Love.😛😛
So Beautiful to be in love. Its a feeling you cannot explain when its true.
Acha kipasukie nyongo *****.😱😱
Mpenzi wangu wa zamaniYaan ni raha isiyo na kifani, sasa usiombee wenye vijicho wawe karibu yenu.
Kwayeyote yule ambaye hakupata upendo kwenye mahusiano.kama mm mwanzo kweli tulikosa mambo mengi ...!!naomba kusema kwamba nafaidi sana na kufurahia sana.raha ya mahusiano ,mmpendane ,muheshimiane...mkosoane,muelimishane,!!
Mungu amuweke huyu mtu aliyeniletea huu upendo.
Tafadhali sijawahi kuwa na mahusiano na ww.Mpenzi wangu wa zamani
[emoji2] [emoji1] [emoji2]Tafadhali sijawahi kuwa na mahusiano na ww.
Nipo hapa mamiiii...Nimpate wapi mwanaume kama huyu? Atakayenipenda nami nifurahi daaah