Duh! Safi sana hii
Haina haja kusumbua au kusumbuliwa na watu.
Duh, akiendelea hivi kwa mwaka mmoja tu, tayari ni mteja wa Hospitali kwa BP na kisukari.
Nimependa hakutaka usumbufu wa kwenda kutafuta wanawake wa kumfanya buzi. Hakutaka kuchukua gari wala teksi. Kajituliza nyumbani kwake tu kama kasuku.
Mmmh!Sukari itoke wapi mtu anakula nyama kama mmsai. Na hujui anakunywa kinywaji gani. Pengine diet ice tea.
Mmmh!
Diet tea? Bia kabisa ile!
Uchambuzi kidogo tu unasema: bia inampa alcohol; sigara-nicotine; nyama choma-cholesterol+carbon monoxide....n.k! Hakuna cha raha hapo!
Kutasaidia kuongezeka kwa mapato ya hospitali madarufu, congratulations.
Haina haja kusumbua au kusumbuliwa na watu.
Wacha uchuro.Duh, akiendelea hivi kwa mwaka mmoja tu, tayari ni mteja wa Hospitali kwa BP na kisukari.