Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa

Raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
haaa ahaaa kwa kwaaaa kwaaaaaa tehe tehe tehe Lol!

jamani acha nicheke mie, kwa raha zangu wala sigombwi na mtu yeyote
yule wala kusumbuliwa na yeyote yule, ni raha zangu tu NAJIPA.

wapendwa madada na marafiki zangu wa kike humu mjengoni nataka
kuwaaeleza kuwa raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa na mtu au
kusifiwa na mtu jisifie mwenyewe, jipende, jithaminishe, jitambue na
jielewe mwenyewe usisubiri ati mume, mchumba, au nduguyo akusifie.

Jisiifie mwenyewe kwa raha zako, ww kama uko flat (mchina) jiseme mm
sio flat ni chuma cha nguvu, kama uko bwanyenye (yaani mnene kupitiliza)
jisemee mwenyewe kuwa wewe ni english figure jamani madada raha haipatikani
kwa wale waliotuzunguka inapatikana kwako mwenyewe utakapojitambua na
kujijua ukoje utafurahia maumbo na mapambo ambayo Mungu alikuumba nayo,
achana na dhana ya kujishusha thamani, au kujidharau eti mm sio mzuri wa sura
nani amekwambia kuwa uzuri ni sura bestito shostito uzuri wa mwanamke sio sura
bali ni tabia njema, utu wema, na utauwa na upole kiasi besti upo hapo.

Hivyo nakwambia shosti jisifie wewe mwenyewe utakapojisifia na kujiona bora ndipo
watu wengine watakuonabora zaidi ya vile ujionavyo. Mungu alikuumba kwa mfano na
uzuri wake yeye mwenyewe acha tabia ya kujidharau na kujiona hufai wewe unafaa
sana katika ulimwengu huu. JIPENDE, JITHAMINISHE, JIJALI NDIPO UTAJALIWA.
LADY NASEMA KUWA RAHA JIPE MWENYEWE USISUBIRI KUPEWA WATAKUDANGANYA HAO
 
yani mimi nikiwa na mtu halafu
eti oooh yule dada mzuri jibu hua ni hanishindi mimi
ooooh yule kaka handsome, jibu hamzidi mme wangu khaaaaa!!
raha najipa mwenyewe bana hahahaaa!!
 
haaa ahaaa kwa kwaaaa kwaaaaaa tehe tehe tehe Lol!

jamani acha nicheke mie, kwa raha zangu wala sigombwi na mtu yeyote
yule wala kusumbuliwa na yeyote yule, ni raha zangu tu NAJIPA.

wapendwa madada na marafiki zangu wa kike humu mjengoni nataka
kuwaaeleza kuwa raha jipe mwenyewe usisubiri kupewa na mtu au
kusifiwa na mtu jisifie mwenyewe, jipende, jithaminishe, jitambue na
jielewe mwenyewe usisubiri ati mume, mchumba, au nduguyo akusifie.

Jisiifie mwenyewe kwa raha zako, ww kama uko flat (mchina) jiseme mm
sio flat ni chuma cha nguvu, kama uko bwanyenye (yaani mnene kupitiliza)
jisemee mwenyewe kuwa wewe ni english figure jamani madada raha haipatikani
kwa wale waliotuzunguka inapatikana kwako mwenyewe utakapojitambua na
kujijua ukoje utafurahia maumbo na mapambo ambayo Mungu alikuumba nayo,
achana na dhana ya kujishusha thamani, au kujidharau eti mm sio mzuri wa sura
nani amekwambia kuwa uzuri ni sura bestito shostito uzuri wa mwanamke sio sura
bali ni tabia njema, utu wema, na utauwa na upole kiasi besti upo hapo.

Hivyo nakwambia shosti jisifie wewe mwenyewe utakapojisifia na kujiona bora ndipo
watu wengine watakuonabora zaidi ya vile ujionavyo. Mungu alikuumba kwa mfano na
uzuri wake yeye mwenyewe acha tabia ya kujidharau na kujiona hufai wewe unafaa
sana katika ulimwengu huu. JIPENDE, JITHAMINISHE, JIJALI NDIPO UTAJALIWA.
LADY NASEMA KUWA RAHA JIPE MWENYEWE USISUBIRI KUPEWA WATAKUDANGANYA HAO
raha ya supu itiwe rimao na siku zote nazi hukunwa kwanini useme raha kujipa mwenyewe, umeshawahi kujibeba weye ladyfurahisha
 
raha ya supu itiwe rimao na siku zote nazi hukunwa kwanini useme raha kujipa mwenyewe, umeshawahi kujibeba weye ladyfurahia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom