Raha bin utamu...

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,455
Reaction score
5,161
HII NDIO RAHA NA UTAMU WA KUANGALIA LONG TENNIS YA WADADA.
 
ni naona kama tunamwangalia lady JD tu hapa... wote ni kama madume tu

Duh nilidhani peke yangu huyu mwanamama jaydee namuona Kama dume kumbe nna wenzangu!
 
Vangi usishtuke sana kutajwa au kufananishwa Venus na JD na mwanamme inaonyesha umaarufu wake tu.

Btw naona hukujali dignity ya ms williams hapa umejali ya JayDee tu au kwa kuwa hajui Kiswahili?
 
mnh unajiuliza mwenzetu raha bin utamu kauonea wapi?:twitch::twitch::twitch:jibu ni ukame wa kufanya mapenzi!,ndio nyie nyie mnabaka wamama na vibibi!:brushteeth::brushteeth:
 

i apologize and i have deleted my post.... nadhani ni hasira za kukosa red label mji mzima wa Dar bila kuambiwa sababu nikaishia kunywa ballantine...

APOLOGY TO JD, VENUS, WEWE NA WANAJAMII

DE NOVO
 
i apologize and i have deleted my post.... nadhani ni hasira za kukosa red label mji mzima wa Dar bila kuambiwa sababu nikaishia kunywa ballantine...

APOLOGY TO JD, VENUS, WEWE NA WANAJAMII

DE NOVO

Nashukuru De Novo kwa kukubali mapungufu hayo, kwa heshima kubwa mimi pia nimeamua kuondoa post yangu. though bado imebaki katika kopi yako.
 
Kwanza inaitwa Lawn Tennis na sio Long Tennis halafu mdogo wake kajazia balaa na picha zake zimo humu ukiangalia posts za nyuma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…