Makonyeza
Member
- Feb 2, 2020
- 69
- 252
Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu.
Kwanza Azam hawajakosea kumuhitaji Feisal, hivyo ndivyo timu zenye malengo makubwa hufanya, kuhitaji huduma za wachezaji wakubwa wenye uwezo. Huwezi kuwa timu kubwa yenye mafanikio kama hutamani kuwa na wachezaji wakubwa kama akina FEY.
Lakini nirudi kwenye Mada yangu, hivi kweli Rage ninayemjua Mimi anaamini kipa ndio sababu ya Azam kufungwa na Yanga??
Mbona Rage umekuwa msahaulifu mapema kiasi hicho?
Kwani Azam huyu HAKUMFUNGA simba mechi ya Mkondo wa awali tena kipa akiwa ni HUYU HUYU Ahamada?
Na kwanini Rage uitumie Yanga kama kipimo cha ubora wa goal keeper wa Azam, tena katika mechi ya 18 tu ya ligi?!
Mzee wangu umeamua kujizima data!?, mbona ni mwaka wa nne huu Sasa mfululizo Manula anatunguliwa tu na hao Yanga haujawahi KUWA SHAURI simba kutafuta kipa mwingine!??
Huyu wa Azam haujawahi kuuona Ubovu wake isipokuwa kwenye mechi za Yanga tu,
Ukorrrrofi huo Rage!
Kwa ufupi hapa tatizo kwa Azam wala sio Walinda milango, si Ahamada wala Manula kwa Simba, tatizo la msingi ni Yanga kama timu ambayo ina funga yeyote aliyepo mbele yake isipokuwa kwa bahati mbaya kama juzi ilivyokuwa kule Highland Estate.
Keeper WA Azam wala hana hizo shida mnazolazimisha, Itoshe kuwa muungwana wataje Yanga kama tatizo la MSINGI kwa Azam ambayo bado ingali ikijitafuta.
Tatizo ni YANGA mzee wangu wala sio Kipa WA azam