Rage uhuni unaomfanyia mgosi malipo hap hap duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rage uhuni unaomfanyia mgosi malipo hap hap duniani

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Jul 30, 2011.

1. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#1
Jul 30, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,585
Likes Received: 5,772
Trophy Points: 280
Kama umesikia clouds fm leo kuna kijana wetu wamesajiliwa dc motema pembe amekuwa
akiomba watu ovyo kwa simu namba za viongozi wa tff wamsaidie itumwe itc
wakati akiulizwa hilo mgosi anasema yeye wamekubaliana kuachana na simba nije drc nashangaa wananingangania
nimempigia rage hata apokei simu yangy same to kaburu shida tupu sijui kwa nini ananifanyia hivi naomba msaada wenu wandishi nafanya kazi ya kuzunguka na timu huku sichez inauma sana

2. Chitemo

Chitemo JF-Expert Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Feb 25, 2011
Messages: 1,293
Likes Received: 14
Trophy Points: 135
pole mgosi

3. Aggrey86

Aggrey86 JF-Expert Member

#3
Jul 30, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 856
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Haya wakina Edo kumwembe,Shaffi Dauda na tff mpo hapo?2tafika kweli na soka letu kweli kama ndo hv!

4. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#4
Jul 30, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,250
Likes Received: 3,863
Trophy Points: 280
Jamani jana habari zalisomeka kuwa kashasaini mkataba sasa hili vp?

5. Chimunguru

Chimunguru JF-Expert Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: May 3, 2009
Messages: 9,843
Likes Received: 270
Trophy Points: 180
Rage alipofungwa nilisikitika sana, nilidhani ni mtu wa maana, alipompaka Yule msemaji wa simba eti yeye haajiri makalani, ndipo nilipomwona jamaa hafai, sasa anazuia riziki za watu au kawa mbunge ndo kiburi kimezidi? hovyooo Rage kabisaaa

6. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,585
Likes Received: 5,772
Trophy Points: 280
mbaaya zaidi mgosi amesema simba wameshapokeakila kitu lakini anashangaa kwa nini wanashindwa kuiachia hiyo ITC na kingine anaumia kuona anaenda na timu kuzunguka nayo kama mshangiliaji huku watu wakiwa na hamu ya kumuangalia inahuzunisha sana sana
Sijui tunaelekea wapi soka letu bifu zinawaumiza sijui ajapata mgao wa pemben wa jamaa nilisoma gazeti la majuzi jama a wanamchukua kama mchezaji wa ridhaa kazi ipo....

7. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280
Ni navyo jua mimi Rage hauyuko nchini pamoja na katibu mkuu.....na mpira ni biashara na siku zote simba huwa hawabanii mchezaji wakishapata chao lazima kuna walakini au kutokuwepo kwa katibu na Rage...

8. Kiranja Mkuu

Kiranja Mkuu JF-Expert Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Feb 18, 2010
Messages: 2,100
Likes Received: 17
Trophy Points: 0
El shabab wa soka kutoka Somalia

9. M

Masuke JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Feb 28, 2008
Messages: 4,606
Likes Received: 108
Trophy Points: 160
Ukweli ni kwamba DC motema pembe washamalizana na simba kwa dau la dola elfu 15, Simba tayari washawasilisha barua TFF iliyosainiwa na Geofrey Nyange Kaburu kwa ajili ya kukamilisha hati ya uhamisho labda kazi imebaki kwa TFF, lakini Simba hawana kawaida ya kushikilia bahati za watu, sisi wadau wa Simba tunamtakia kila la heri kijana Mgosi.

10. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,585
Likes Received: 5,772
Trophy Points: 280
mkuu embu msaidien basi swala la ITC ni club kuhakikisha wamepata na wanatuma kama walivyopokea hela sasa ammepokea hela mnamfanyia uhuni labda kwa taarifa tu huyo mtangazaji alisema amempigia boniface na kumuulizaa akasema awajapokea ila anasoma magazetini sasa kama mdau wa michezo embu saidien hili yule ni kijana wenu aliewasaidia sana mpaka wanamheshimu kila kona ukiacha hivi majuzi alipoanza kujitumbukiza kwenye ma Miss ikawa shida uwanjan Nguvu basi anayway kila la kheri huko

11. M

Masuke JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Feb 28, 2008
Messages: 4,606
Likes Received: 108
Trophy Points: 160

Mkuu Pdidy mimi nimesikia msemaji wa Simba bwana Ezekiel kipindi cha michezo redio one, unajua kinachoweza kuwa ni sababu DC Motema Pembe walitaka kumchukua kama mchezaji huru Simba nao hawakutaka maana alikuwa ni mchezaji wa Simba bado, lakini baada ya mazungumzo wakakubaliana na DC Motema Pembe wakatanguliza dola elfu 10 na elfu 5 ikawa imebaki, Simba wameshacomfirm kwa barua iliyokwenda TFF na kama ITC bado inaweza kuwa ni kwa sababu ya hiyo elfu 5 iliyobaki lakini mimi nina uhakika Mgosi atacheza kwa wale wacongo bila wasi wasi kabisa.

Simba ni timu ambayo inapenda ustawi wa wachezaji wake ili kilichoniudhi kwa timu yangu ni kitendo cha kuwapeleka baadhi ya wachezaji kwenye timu zingine kwa mkopo bila ridhaa yao, hata kama sheria inaruhusu kuna sheria moja ya zamani na maarufu sana inaitwa 'common law' ambayo msingi wake ni uungwana, kama watu mmekaa nao kwa muda na wameitumikia klabu kulikuwa na ugumu gani kuwasilliana nao halafu mnakuja kuwajulisha siku za usajili zimeshaisha, hicho kitendo sikukipenda kabisa.

12. BASIASI

BASIASI JF-Expert Member

#12
Jul 31, 2011
Joined: Sep 20, 2010
Messages: 3,116
Likes Received: 351
Trophy Points: 180
jamanini hiyo FEDHA si kweli clouds wamemuuliza mgosi akasema wamemalizia hiyo 5000 na ajui sababu na boniface kaulizwa kakaa kimya hilo ndio tataizo asaidiwe na nani mtu yuko congo anafanya kazi ya kuangaalia mechi wakati ameenda kucheza na wakumbuke kaacha familia kama rage amezoea bunge kuacha familia yake aheshimu yule mpira ndio maisha ya kipato chake sidhan aalichojitahd simba anastahili adhabu hiyo na mimi nilisikia anyway awe mvumiliv

13. m

mwacheni77 JF-Expert Member

#13
Jul 31, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 764
Likes Received: 70
Trophy Points: 45

Watanzania wanashangaza na habari za michezo nazo zipo kama udaku ya magazeti ya shigongo,jamaa wamemalizana na simba na simba wamemalizana na mgosi na jamaa wamekabidhiwa itc ya mgosi,simba hawana kawaida ya kubania wachezaji cos ngasa wa leo angekuwa tayari yupo norway simple cos madege kakataa na naamini huko norway angekuwa ameshavuka mipaka cos anajua,tunamtakia kila la kheri mgosi akacheze mpira wa hali ya juu kama sammata

14. Mwita Maranya

Mwita Maranya JF-Expert Member

#14
Jul 31, 2011
Joined: Jul 1, 2008
Messages: 10,569
Likes Received: 105
Trophy Points: 145
Hapa ni issue ya mgosi kutopata itc huko congo mambo ya ngasa na madega yanatoka wapi? hata hivyo wanorway walitaka kumchukua ngasa kiulaini madega akawakatalia, mbona azam walipofungua pochi ngasa alihamia kwao??

Huyo msomali anayejifanya kufahamu sheria huku ni maimuna ndo anawapoteza sana simba. issue ya banka na meshack abel imemtoa ushamba huyo msomali na kujifanya mjuaji.

15. m

mwacheni77 JF-Expert Member

#15
Jul 31, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 764
Likes Received: 70
Trophy Points: 45

Kumbe unajua kama azam walifungua pochi wakampata ngasa sasa iwaje wakongo wapewe bure mgosi?mgosi si wa dola elf 5 wamefungua pochi wamepewa like azam walivyofanya kwa ngasa na issue ya ubaguzi umeianza lini?we are all africans and we are tanzanians somalia asili yake but yeye ni mtanzania jua kama zambi ya ubaguzi ni mbaya sana kama kula nyama ya mtu

16. yutong

yutong JF-Expert Member

#16
Jul 31, 2011
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 1,604
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Yahani hawa ni wale wale mavuvuzela wa CCM waliopewa ubunge kwa uvuvuzela wao.

Loading...