black and white
Senior Member
- Apr 25, 2013
- 102
- 26
hahaaaa Rage yanı unatutafuna wanatabora bila hata huruma ahadi lukukı leo bungeni unalala ukıongea unaongea pumba hivi Rage tabora hatuna matatızo.Tabora elımu dunı,upungufu mkubwa wa vıfaa muhımu hospıtal ya mkoa,uwanja wa ndege hovyooo,
barabara za ndani shıdaaa na hızochache zınazojengwa wakandarası wanachakachuwa,jeshı la police ufısadı na rushwa,mninga unazıdı kuvunwa na tunakoeleka mninga utatokemea kabısa na kubakı hıstorıa kuwa tabora kulıkuwa na mnınga,ukıenda edara ya majı ili uvute majı wanakwambıa vıfaa hakuna tumeagıa sasa haya maneno tumeagıza yametuchosha.
Wewe ngoja mwaka 2015,