Rage na mchango wa udini bungeni

Kama vile ccm inavyopambana na kuwagandamiza wakristo nasi jamii ya kikristi itwaonyesha
...........cha mtema kuni kupitia padre slaa na Chadema..............Nimekusaidia Kumalizia senetensi yako.Mnaelekea kufilisika kimawazo na sasa mnaleta ligi za kitoto mpaka masuala ya kuchinja which is nonsense.Tunafahamu miaka yote mlikuwa mnaisapoti CCM na hata mkamuita JK chaguo la Mungu 2005.Leo hii imekuwaje mnaenda CHADEMA au chaguo la Mungu limehamia huko?Je Mungu huyu amekuwa kigeugeu?
 

mwenyekiti wa ccm ni nani mkuu??
Ni nani ameupata uraisi kwa hiyo sera hiyo mkuu??
Ni nanai beneficiary wa sera hiyo iliyotumiwa na ccm?
 

very true bro
 
mwenyekiti wa ccm ni nani mkuu??
Ni nani ameupata uraisi kwa hiyo sera hiyo mkuu??
Ni nanai beneficiary wa sera hiyo iliyotumiwa na ccm?
Kuwa mwenyekiti haimaanishi kuwa ndo unatunga kila kitu.Lakini pia wakati ilani inatungwa mwenyekiti alikuwa Mkapa.
 
mwenyekiti wa ccm ni nani mkuu??
Ni nani ameupata uraisi kwa hiyo sera hiyo mkuu??
Ni nanai beneficiary wa sera hiyo iliyotumiwa na ccm?
.M/Kiti alikuwa Mkapa.Aliyeupata uraisi ni JK na Beneficiary ni CCM.JK hakuwa anajua kuwa angegeukwa.na baada ya kushinda CCM ikiwa na Backup ya Maaskofu wakakataa suala hili.JK amejaribu kuondoa mfumo wa udini ndani ya CCM na Serikali lakini kelele zimesikika mpaka kwa Nyerere.wapo wanaotamani arudi kwa vile yeye ndo alipanda mbegu hii mbaya.Sasa JK anonekana kana kwamba yeye ndo mdini.Maaskofu walimwangukia Padri Slaa na ndo maana ukaja mwongozo kwa wapiga kura wakristo ....shame on them...
 
Lazima wenzetu wakristo waseme rais ni mdini na sababu ni mwamko wa waislamu kudai haki zao zilizokuwa mikononi mwa mfumo uliokaliwa na wakristo.
Uwepo wa jk kwa kiasi imekuwa tatizo kwa wadhulumu wa haki za waislamu kwani jk hajaonyesha udhaifu kama wa mwinyi katika kusimamia usawa kwa watu wote.
Jk sio mdini ila wadini wameshikwa pabaya.
 

usiku mwema aisee,ningejua hii ndo post yako ya 5 tangu ujiunge JF nisingepoteza muda kukujibu tangu awali.

Karibu JF.
 

100% iko safi saaaaaaaaaaaana
 

Wewe acha fikra mgando wewe..... kwanza hata kueleweka kwenyewe hueleweki hapo unasema ni mdini halafu tena unawaambia waisilamu kuwa JK aliwaahidi halafu akawaruka... Upuuzi mtupu
 

Saaaafiiiiii..... waeleze hao wenye fikra mgandoooooo
 
hakuna dini iliyozaidi ya mwenzake zote 2mezkuta n ha2jui kama zliletwa na mungu au la ! Cha msing shika iman yako !kama ni mwislam timiza swala tano zako n mkristo fuata iman yako.achen shamba
 
na wengine wapo kule geita wanawaficha watoto wao wasiende fom1 ili wachunge ng'ombe!!....ni masikini typically,ana ng'ombe 300 analala kwenye kibanda cha nyasi kinachofanana na zizi la ng'ombe!!

wewe ni miongoni mwa wa2 wasio na opeo wa kufikir kwa Kina,unaona ajabu staili ya Maisha ya wafugaji,vipi mbona hushangai za "baba zk" Mafisadi, wanaiba pessa wanaficha Uswis,zinawasaidia nn zaid ya kuitia umaskin nchi.Fikir ww Maisha si vile upendavyo vya kuiga bali ni kujitambua na kujikubali. Baba zk Mafisadi wasingekua wanauza mapor yt na mbuga zt wafugaji wangeteseka kupata Malisho? We huoni mbona macho makubwa unayo!
 

usiku mwema aisee,ningejua hii ndo post yako ya 5 tangu ujiunge JF nisingepoteza muda kukujibu tangu awali.

Karibu JF.
Hamna uhusiano wa mimi kuwa na post chache na Hoja hii ya udini.wengine post nyingi lakini michango haina mashiko. I hope umeamka sogea mezani tuendeleze hoja.usipepese......
 
udini upo mkubwa sana uktaka kuujua chek wakurugenz mawzaran, mabaloz, makaimu makatbu wakuu wote waislam walpandshwa na kufanywa makatbu wakuu..chek layer ya juu ya uongoz wa nchi..HILI JAMBO LA UDINI NI LA KWELI RAGE ANALAMBA VIATU VYA WATAWALA AU MMESAHAU ALITOKA JELA KWA MSAMAHA WA RAIS
 

No research no right to speak.... acha kukurupuka tuuu.... unaongea kana kwamba kichwa umekiacha kijijini kwenu. Hebu ainisha hao makatibu wakuu walio waisilamu na hao mabalozi unaowasema wewe na kisha uangalie wengi ni kina nani. Nyie wenye chuki ndiyo mliojaa huko serikalini kila kukicha mnaleta vioja... ooh mara waisilamu hawakusoma mara waisilamu hivi mara vilee ili mradi tuuu mzidi kuwaangamiza kama alivyofanya mtangulizi wetu huyooo mnaemuita mwenye heri. Acheni hizoooooooo
 

Ndivyo aaminivyo na fikra zake fupi
 

Kama akiegemea upande wawakristo siyo mdini? Shirikisha ubongo kabla ya kufanya post hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…