Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,100
- 1,195
Rage kasema ni watu watatu tu ambao hawamtaki Simba. Na sio wanachama wote!
Rage kasema ni watu watatu tu ambao hawamtaki Simba. Na sio wanachama wote!
Mtangazaji: Vipi 2015 unagombea ubunge? Rage: Unauliza Tende Uarabuni?
Rage bana eti "UKIONA MTU KAJIFUNGA KANGA YA MAMA YAKO NDIYE BABAKO"
Rage ni Msomali au ni macho yangu?
Rage ana maneno sana. Ni mbunge wa chama gani?
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us