Rage: Hivi Haya Ni Kweli Jamani?

Hivi na mimi naweza kwenda Somalia/India nikakubalika mpaka kugombea uongozi?

Au mtoto nitakayemzaa Somalia/India atakubalika hivyo?

Jaribu mkuu! Labda na wao wameingiwa na moyo wa ukarimu kama wetu siku hizi.
 
Hivi na mimi naweza kwenda Somalia/India nikakubalika mpaka kugombea uongozi?

Au mtoto nitakayemzaa Somalia/India atakubalika hivyo?

thubutuu! hii jamii ni wabaguzi mbaya kabisa na ajabu wanatubagua hata hapa ndani ya tanzania! kwa wasomali ni mwiko kuoa / kuolewa na mswahili, kwao ni bora waoane wenyewe kwa wenyewe ndugu kuliko kumkubali ngozi nyeusi - na akitokea mwenzao kwenda kinyume humtenga!
Na ukichunguza historia yao hapa bongo pamoja na matendo yao mengi maovu kama uharamia wengi kama sio wote wanajifanya ni ccm pure ili ku-cover ujangili wao.
Mie napendekeza tuishi nao tu ila kwa akili haswa kutowapa nafasi yoyote ile ya uongozi hata wa kijiji!!
 
kuoa msomali hivi ni big deal au msomali kuoa mbogo ni big deal kumbe mm niliku sijuwi lkini ktk mapenzi mtu hachagui wa kuoa ww umekrmishwa ku wasomali wanaoana na wahindi 2 kitu hiki hakipo
 
wasomali walivokuwa wabaguzi hawawezi kuoa maswahili hata siku moja kama wapo sehemu wamejitenga na hakuna wasomali wenzao na kama hakuna waarabu na wageni wengine wako radhi kaka kuoa dada ake wa tumbo moja ilimradi tu wasioe wabantu hili nimerishuhudia mwenyewe,uone jinsi gani wanavyotudharau hawa wa2 ndio maana mi sifichi mtu mbaguzi simpendi na kwa maana hio wasomali siwapendi kabisa.
 
Watu wengi wameghushi uraia wa Tanzania.!,na kusema eti wao wanatoka katika makabila yaliyo mipakani mwa Tanzania na nchi jirani.Hilo limekuwa ndo habari ya kila siku.usishangae hata yule aliye fanya jaribio la kumua mpinzani wa Kagame SAUZ sio Mtanzania.!
 
kuoa msomali hivi ni big deal au msomali kuoa mbogo ni big deal kumbe mm niliku sijuwi lkini ktk mapenzi mtu hachagui wa kuoa ww umekrmishwa ku wasomali wanaoana na wahindi 2 kitu hiki hakipo

sasa kwa nn ikitokea mswahili ana-date na msomali wenzie humtenga?! Kwamba ana-date na takataka au?!
Na mbona mzungu/mwarabu/mhindi aki-date na msomali wenzie hawamtengi, so tatizo ni rangi yetu nyeusi au?!
Kubali kataa hii jamii ni wabaguzi mbaya kabisa, kwa kuongezea pia wana roho katili kabisa dhidi yetu weusi, hawa akina rage, kinana wanawazuga tu nyie mnaowapapatikia!
 
mkuu kwani kuhoji uraia wa mtu ndiyo kumbagua?ukiona wageni wanaingia nchini kinyume na taratibu za nchi na ukaamua kuhoji huo ni ubaguzi?
hv nyie mnataka nini hasa?? Udini nyie,,, ukanda nyie,,,rangi nyie,,,ukabila nyie hee mnatisha
 
tumechoshwa na tamaa zenu
 
Hivi na mimi naweza kwenda Somalia/India nikakubalika mpaka kugombea uongozi?

Au mtoto nitakayemzaa Somalia/India atakubalika hivyo?

thubutuu! hii jamii ni wabaguzi mbaya kabisa na ajabu wanatubagua hata hapa ndani ya tanzania! kwa wasomali ni mwiko kuoa / kuolewa na mswahili, kwao ni bora waoane wenyewe kwa wenyewe ndugu kuliko kumkubali ngozi nyeusi - na akitokea mwenzao kwenda kinyume humtenga!
Na ukichunguza historia yao hapa bongo pamoja na matendo yao mengi maovu kama uharamia wengi kama sio wote wanajifanya ni ccm pure ili ku-cover ujangili wao.
Mie napendekeza tuishi nao tu ila kwa akili haswa kutowapa nafasi yoyote ile ya uongozi hata wa kijiji!!
 
fanya mambo yako hayo hayakusaidii chochote
 
tuache mambo hayo jamani. mbona nyerere siyo mbantu ni nilotic. wazanaki ni sehemu ya watusi na asili yao ni Ethiopia. mbona tunamkubali na kumheshimu kama baba wa taifa1 mbona babu yake mkapa asili yake ni msumbiji na tanzania hakuishi!? tuache mawazo yaliyopitwa na wakati. marekani imeendelea kwa kasi kutokana na sera yake ya kuwapokea wageni na kuwapa uraia
 
fanya mambo yako hayo hayakusaidii chochote

wewe utakuwa either msomali au unafaidika kwa uwepo wa msomali / wasomali hapa tz.
Inawezekana unawaoshea magari yao yakitoka kuwinda tembo wetu, hivyo kwa akili yako - hiyo ni faida kubwa bora waendelee kuwepo!. Tafakari, kichwa si cha kufugia nywele tu....
 
mmejawa na chuki tu ndo maana tunawaogopa tukiwapa nchi mtasema wengine sie si WATZ
 
Hata kuna watanzania wenye asili ya asia(India) sijui sisi tuliwahi kuitwala India??
 
fanya mambo yako hayo hayakusaidii chochote

Yananisaidia sana kwa nini yasinisaidie ? hivi siku raisi akiwa muua tembo hilo la kuhoji halitanisaidia?au akiwa na konection na al shabab na kaka zao al qaida na nchi ikawekewa vikwazo vya kiuchumi kuhoji kwangu hakutanisaidii?? je wasomali au waarabu wakipanga nyumba jran yangu na baada ya kuondoka tu mabomu yakalipuliwa na watz wakafa je haitanihusu?? je nikienda somalia wakaniita takataka na kunitemea mate usoni sababu ya rangi yangu na nywele zangu na nikirudi hapa nyumbani nawakuta wasomali walewale walionibagua kule wako madarakani nchini mwangu je nayo hainihusu??fikiri kabla ya kuropokaaa!!
 
fanya mambo yako hayo hayakusaidii chochote

wewe utakuwa either msomali au unafaidika kwa uwepo wa msomali / wasomali hapa tz.
Inawezekana unawaoshea magari yao yakitoka kuwinda tembo wetu, hivyo kwa akili yako - hiyo ni faida kubwa bora waendelee kuwepo!. Tafakari, kichwa si cha kufugia nywele tu....
 
hoja yako ingekuwa imejikita ktk haya ningekuelewa ila ni roho mbaya na choyo tu
 
...........We are nearly at the end of the year... remember life is short don't break the rules; forgive quickly, kiss slowly love truly laugh uncontrollably, and never regret anything that make you smile ......................wishing you happy new year 2013...............................
 
Hivi na mimi naweza kwenda Somalia/India nikakubalika mpaka kugombea uongozi?

Au mtoto nitakayemzaa Somalia/India atakubalika hivyo?

thubutuu! hii jamii ni wabaguzi mbaya kabisa na ajabu wanatubagua hata hapa ndani ya tanzania! kwa wasomali ni mwiko kuoa / kuolewa na mswahili, kwao ni bora waoane wenyewe kwa wenyewe ndugu kuliko kumkubali ngozi nyeusi - na akitokea mwenzao kwenda kinyume humtenga!
Na ukichunguza historia yao hapa bongo pamoja na matendo yao mengi maovu kama uharamia wengi kama sio wote wanajifanya ni ccm pure ili ku-cover ujangili wao.
Mie napendekeza tuishi nao tu ila kwa akili haswa kutowapa nafasi yoyote ile ya uongozi hata wa kijiji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…