Yaani Rage alikuwa kiongozi mzuri na anaejua fitina.. Lakini toka aingie kwenye siasa na kuwa gamba rasmi amekuwa ovyo kabisa.. ccm huko cijui kuna nini maana amekuwa ovyo.. Yaani kama dereva aliehamia kuendesha daladala.. Aondoke atuachie Simba yetu..
Kazi kugombania milingoti ya Bendera, kugombea magoli hawezi.
Yaani Rage alikuwa kiongozi mzuri na anaejua fitina.. Lakini toka aingie kwenye siasa na kuwa gamba rasmi amekuwa ovyo kabisa.. ccm huko cijui kuna nini maana amekuwa ovyo.. Yaani kama dereva aliehamia kuendesha daladala.. Aondoke atuachie Simba yetu..
RAGE: nijiuzulu kwani mimi nacheza namba ngapi uwanjani?
Kaka kuwa gamba ni kama una kichaa vile........hebu msikilize
Ndio maana Kawambwa nae hajiuzulu kwa kuwa si yeye aliyefanya mitihani!
huku nyekundu kule njano na kijani.ameadhirika na yale maji
ni mboga ambayo inateleza vibaya mno ukupiga na ugali huna aja ya kutafuna
Mmejikwaa kwa mtu huyu eti hata Tabora wanajuta kumchagua ubunge.RAGE: nijiuzulu kwani mimi nacheza namba ngapi uwanjani?
Wanachama ndio walionichagua tena kwa kura nyingi, sasa iweje niondoke katika kipindi hiki tena timu ikitakiwa kwenda Angola na huku tiketi za ndege pamoja na viza hawana?
Nikitaka kuacha nitaitisha mkutano na wanachama na kuwaambia mambo yamenizidi naomba nang'atuke
SOURCE: akiojiwa clauds fm kwenye PB
Pia aliisha fungwa jela huyu.mkuu ujanielew namaanisha Rage amechanganya vi2 viwili ambavyo haviendani