Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za uongozi.
Chanzo. ITV.

Jukwaa linafaa kabisa simba nao wanajitakia huyo ni mtu gani? mimi ninafikiaga kusema wanachama wa Simba na wapiga kura wa Tabora mjini wote akili zao ziko matakoni Rage ni mtu gani wa kumchagua kuwa kiongozi?
Kufuatia kikao kilichokuwa kikiendelea kakika Club ya Simba maamuzi yamefikiwa ikiwa ni pamoja na kumsimamisha Mwenyekiti Aden Rage katika nafasi yake kwa kwenda kinyume na kanuni na taratibu za uongozi.
Chanzo. ITV.
Nilikula kiapo sitoshabikia timu ya SIMBA SC mpaka hapo Aden Rage atakapokuwa si Mwenyekiti wa Simba SC. Ni upuuzi mtupu. Nikisikia jina la timu hii nasikia kichefuchefu kwa jinsi wote walivyo mazoba kumchagua na hata baada ya kuboronga bado wanamuacha aendelee kuongoza. Foolish kabisa, kaharibu heshima yote ya Simba SC.
Ukinywa dawa yenye mchanganyo huu lazima upone kichaa RAGE+KAPUYA x NAPE - MWIGULU NCHEMBA / PHILIP MULUGO.
Kama kiongozi ni Rage, wanachama wote wanakuwaje? Stu..d Leaders!