Rage ataja mechi Nne za kuishusha Yanga

Makonda anataka kwanza ampige GSM za usso ili aachane na Kiwanja chake. Huku KMC kule Makonda pale Fans wa Simba mnazidi kuongeza Haters kazi ipo
 
MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage amesema hakuna wa kuizuia Simba kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika, lakini akajilipua kwa kutaja mechi nne za kuitoa Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Rage amesisitiza Yanga kukaa kileleni kwa msimamo hakuwezi kuinyima Simba ubingwa msimu huu na ana uhakika kutokana rekodi na kiwango cha Mnyama.

โ€œYanga wataanza kupotea dhidi ya KMC, Azam FC, Simba na Mbeya City wataambulia sare tayari mnyama atakuwa ametetea taji lake mara ya tano mfululizo hilo lipo wazi kutokana na timu hiyo kuwa wanyonge wa timu nilizozitaja pamoja na kupata matokeo mzunguko wa kwanza,โ€ alisema Rage mwenye uzoefu na soka la Tanzania na Afrika.

Rage ambaye ana uelewa mkubwa wa sheria na kanuni za soka, aliongeza, ndani ya misimu minne ambayo Simba imetwaa mataji Yanga imekuwa ikiongoza ligi baadae inaishia kutazama taji likienda Msimbazi.

Yanga ndiyo timu pekee ambayo haijapoteza mchezo hadi sasa huku ikiongoza msimamo wa pointi 45. Simba ni ya pili ikiwa na pointi 37 lakini imeshapoteza mechi mbili huku Namungo ikipoteza nne na Azam sita.

ROBO FAINALI CAF
โ€œSimba ni timu ya kimataifa, kazi yao kubadili ndege angani, nina uhakika na hilo, kikubwa wachezaji wafanye wanachostahili chini ya maelekezo ya kocha wao,โ€ alisema na kuongeza.

โ€œHii ni nafasi ya Simba kupambania taji la Afrika, wanaweza kufanikisha hilo, kwani kundi lao lipo wazi, kwanza wana uzoefu na hilo wanachotakiwa ni umakini mkubwa.โ€

Naye kiraka wa Simba, Erasto Nyoni amewapongeza wachezaji wenzake; โ€œUmoja ndio kila kitu maana wachezaji wote kwa umoja walipambana na kupata pointi tatu muhimu katika mchezo wa Berkane, pia kufanyia kazi kile ambacho mwalimu alitaka kifanyiwe kazi.โ€
Rage ni mzee mla rushwa,kauli zake si za kuchukulia kwa uzito wowote.
 
Kilaza huyo nikikumbuka tarehe 01.04 alisema Chama cha Soka cha Kenya kimemteua Ruud Gullit kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Kenya kipindi hicho kumbe ilikuwa ni siku ya wajinga Duniani na yeye akalishwa ujinga akawa mjinga!
 
MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage amesema hakuna wa kuizuia Simba kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika, lakini akajilipua kwa kutaja mechi nne za kuitoa Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Rage amesisitiza Yanga kukaa kileleni kwa msimamo hakuwezi kuinyima Simba ubingwa msimu huu na ana uhakika kutokana rekodi na kiwango cha Mnyama.

โ€œYanga wataanza kupotea dhidi ya KMC, Azam FC, Simba na Mbeya City wataambulia sare tayari mnyama atakuwa ametetea taji lake mara ya tano mfululizo hilo lipo wazi kutokana na timu hiyo kuwa wanyonge wa timu nilizozitaja pamoja na kupata matokeo mzunguko wa kwanza,โ€ alisema Rage mwenye uzoefu na soka la Tanzania na Afrika.

Rage ambaye ana uelewa mkubwa wa sheria na kanuni za soka, aliongeza, ndani ya misimu minne ambayo Simba imetwaa mataji Yanga imekuwa ikiongoza ligi baadae inaishia kutazama taji likienda Msimbazi.

Yanga ndiyo timu pekee ambayo haijapoteza mchezo hadi sasa huku ikiongoza msimamo wa pointi 45. Simba ni ya pili ikiwa na pointi 37 lakini imeshapoteza mechi mbili huku Namungo ikipoteza nne na Azam sita.

ROBO FAINALI CAF
โ€œSimba ni timu ya kimataifa, kazi yao kubadili ndege angani, nina uhakika na hilo, kikubwa wachezaji wafanye wanachostahili chini ya maelekezo ya kocha wao,โ€ alisema na kuongeza.

โ€œHii ni nafasi ya Simba kupambania taji la Afrika, wanaweza kufanikisha hilo, kwani kundi lao lipo wazi, kwanza wana uzoefu na hilo wanachotakiwa ni umakini mkubwa.โ€

Naye kiraka wa Simba, Erasto Nyoni amewapongeza wachezaji wenzake; โ€œUmoja ndio kila kitu maana wachezaji wote kwa umoja walipambana na kupata pointi tatu muhimu katika mchezo wa Berkane, pia kufanyia kazi kile ambacho mwalimu alitaka kifanyiwe kazi.โ€
Njaa mbaya sana.Huyu mzee anatafuta cheo kwa nguvu pale Simba anaongea kila siku ili Mo anyone ampe nafasi vinginevyo uwezo wake wa kufikiri na kujenga hoja ni mdogo sana ndiyo maana sehemu zote alizotumikia kwenye maisha yake amefeli kwa kiwango Cha juu.Mfano tu Ubunge,Uongozi wake ndani ya Simba. Nk ,Ni Mtu fulani Mjanja Mjanja na Tapeli wa mjini si wa kumsikiliza na kufuata ushauri wake hata Kidogo
 
Wanasimba sikukuu yenu ya Mbumbumbu inakaribia muulizeni Kubwa lenu la Mbumbumbu Rage mtakuwa wapi hiyo 1.4
 
Back
Top Bottom