Katika maisha ya binadamu ,tunao marafiki wa wili ambao bila wao hatuwezi kuishi duniani.
Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu,muumba wa mbingu na dunia.Alianza kuumba maji ,ardhi ikafuata miti ambayo inatupatia hewa ya oxygen,.Bila hewa ya oxygene huwezi ukaishi hata sekunde moja.
Ndiyo maana kule kwenye sayari ambaKo hakuna miti ,hakuna uhai unaoweza kumwezesha mwanadamu kuishi. Hata dawa unazoona zinauzwa madukani na nyengine za asili kabisa ni matokeo ya miti au matunda yake.hata wanadmu wote unaowaona wenye kiburi cha kuwatisha au kuwaua wenzao ni kwasbabu rafiki yao wa milele ni miti.Bila miti wema na waovu hawawezi kuishi.Rafiki hawa ( miti ) hawana ubaguzi.wanamtendea mema mwema na mbaya kwa amri ya milele itokayo kwa Muungu muumba wa mbigu na nchi>
Kwa hiyo hatuna budi kuiheshimu miti maana inatupatia uhai hata kama tungekuwa wabaya machoni mwa MUNGU Na binadamu.tuhimizane kupanda miti.usikate mti hovyo.unapokata mtu kumbuka kuwa unamkata rafiki yako kipenzi sana akupaye oxygen ,atakayekuponya siku ya magonjwa yako