Rafiki zangu wote wa JF salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki zangu wote wa JF salaam

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mchakachuaji192, Dec 22, 2010.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  wana-JF naimani kila mmoja kwa nafasi yake yuko poa na anaendelea vizuri na majukum ya kila siku, napenda kuwashukuru wote walionikaribisha humu ndani na pia nasikitika kusema kuwa nitapotea kwa muda kidogo naenda kusherehekea sikukuu hizi za mwaka mpya na x'mass nikiwa na babu na bibi huko kijijini napenda kwa moyo mkunjufu kuwatakia wote heri ya x'mass na heri ya mwaka mpya pia tukutane 2012 tukiwa na mawazo bora zaidi yatakayosaidia kujenga nchi yetu na zaidi sana kudumisha mshikamano tulijiwekea humu ndani ya JF ambapo members tuneheshimiana na kupeana mawazo pale mmoja wetu anapohitaji msaada wa mawazo, nisiwachoshe kwa ujumbe mrefu sana, kwa herini jamani, msherehekee salama

  KWA WALE WENZANGU WA MOJA MOTO NA MOJA BARIDI PLEASE MSIENDESHE VYOMBO VYA MOTO MKIWA MMELEWA
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  kumbe unapotea mwaka mzima? orait....
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  tuonane mwakani...wape hi babu na bibi waambie nao wajiunge jf
   
 4. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ALL DAH BEST!!!!!!!:A S-heart-2::A S-heart-2:
   
Loading...