Watu wengi sana wenyeji wa asili ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi ktk bara hili la Afrika hawana mwamko sana kwenye masuala ya Elimu-dunia.Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni kawaida sana , formal schooling is not their priority! Badilikeni!
My take: Wapelekeni shule watoto. pamoja na "chuo" na formal schooling ni muhimu.
Au nyinyi someni wao watakuja kuwaajiriWakiwa wakubwa watalalamika hawapewi nafasi serikalini
Nani amwache professor na mbobevu amuchua mtu wa madrasa
Nyie mnao wapeleka hizo forma schools mnatuzidi nini, wakati wengi wanao endesha bodaboda hapa Dar niwakutoka mikoani hali zao ngumu na maadili ya dini hawana ustaarabu hawana, wengi kunywa viroba kwenye hizo bodaboda, hao hao walio soma formal school wengi ni wapiga debe hapa magufuri stendi.......sioni tofauti bora nimwandalie mtoto maisha ya akhira ajue Mola wake.Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni kawaida sana , formal schooling is not their priority! Badilikeni!
My take: Wapelekeni shule watoto. pamoja na "chuo" na formal schooling ni muhimu.
Neenda mikoani uone watu wa mikoa wanavo teseka hali yao duni maisha magumu huwezi kulinganisha maisha ya watu wa Kagera na watu wa Tanga au Dar......elimu hiyo haijawasaidia kibisa.Wakiwa wakubwa watalalamika hawapewi nafasi serikalini
Nani amwache professor na mbobevu amuchua mtu wa madrasa
Hujafika Kagera wewe?Neenda mikoani uone watu wa mikoa wanavo teseka hali yao duni maisha magumu huwezi kulinganisha maisha ya watu wa Kagera na watu wa Tanga au Dar......elimu hiyo haijawasaidia kibisa.
Kagera ipi unaisema? Watu wanaishi kwa umasikini uliokithiŕi wanashindwa hata kuchangia shilling 500 ya uji shuleni, mpaka wanaenda kwa mkuu wa wilaya kulalamika kwamba shule inawaibia, hapo hizo formal school zimewasaidiaje kama sio kuwafanya kua masikini zaidi.Hujafika Kagera wewe?
Kagera hakuna ujinga kama wa watu wa pwaniKagera ipi unaisema? Watu wanaishi kwa umasikini uliokithiŕi wanashindwa hata kuchangia shilling 500 ya uji shuleni, mpaka wanaenda kwa mkuu wa wilaya kulalamika kwamba shule inawaibia, hapo hizo formal school zimewasaidiaje kama sio kuwafanya kua masikini zaidi.
Kagera ipi unaosema wakati bado kuna sehemu wengine wanaliwa na fuza miguni.......umasikini wa kule haulinganishe na Tanga au pwani.Kagera hakuna ujinga kama wa watu wa pwani
Kagera watu wanajielewa
Kwani hao waliosoma sehemu nyingine elimu imewasaidia nini? Ndio hao mafisadi wa kalamuNimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa, akitaka aende shule za kawaida , asipotaka basi, lakini "chuo" atakwenda! Nikaacha fimbo zinatembea! Ni kawaida sana , formal schooling is not their priority! Badilikeni!
My take: Wapelekeni shule watoto. pamoja na "chuo" na formal schooling ni muhimu.
"Muhimu ajue kusoma , kuandika na kuhesabu basi".Kama wanapata elimu ya msingi hiyo tu inatosha sana kwa jinsi Tanzania ilivyo.
Muhimu ajue kusoma, kuandika na kuhesabu basi.
sawa, nimeandika kwa nia jema na si kusimanga watuNyie mnao wapeleka hizo forma schools mnatuzidi nini, wakati wengi wanao endesha bodaboda hapa Dar niwakutoka mikoani hali zao ngumu na maadili ya dini hawana ustaarabu hawana, wengi kunywa viroba kwenye hizo bodaboda, hao hao walidoma formal school wengi ni wapiga debe hapa magufuri stendi.......sioni tofauti bora nimwandalie mtoto maisha ya akhira ajue Mola wake.