Rafiki yangu yamemkuta anahitaji ushauri

Rafiki yangu yamemkuta anahitaji ushauri

MTIMBICHI

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
946
Reaction score
214
Habari za muda huu,

Najua wengi mmelala lakini mkiamka mnipe mawazo ya kumshauri rafiki yangu kwani anadai mpaka muda huu hajalala hata usingizi umeruka kisa mkewe pale kwake kaja mgeni ni wifi ya mke wake yani mke wa mdogo wa mkewe inadaiwa wifi kakorofishana na kaka huko sasa kakimbilia kwa wifi yake.

Mke wa jamaa yangu yapata mwezi wa tatu sasa na kinachoangaliwa zaidi ni mtoto mdogo wa huyo dada ambae ana tatizo na mme wake kilichompata rafiki yangu ni kumtongoza huyo wifi wa mkewe na huyo dada kakataa sasa rafiki yangu anaisi kukataliwa huko labda mkewe kaelezwa mana mkewe hayupo vizuri kama alivyomzoea.

Mkewe amekuwa ni mtu hana raha na anaonekana ana mawazo sana, rafiki yangu anamuuliza mkewe kuna nini anasema hakuna kitu.

Je inawezekana wifi kamwambia mke wa rafiki yangu hilo jambo au nini kimempata mana nyumba imekuwa haina amani ghafla.

Wanajf tumsaidie huyu jamaa kuna jambo gani hapo linaendelea na je akiwa kajua hilo majibu yake ni nini?
 
Ajifanye kama na yeye haelewi kitu.., nyie wanawake sijui mnakuwaje.., unakuta mtu kanuna tuu.., shida nini husemi.., kama dozi haitoshi si useme tu ili mtu aingeze bidiii.., huyo jamaa ajitoe akili ajifanye haelewi kitu na yeye..
 
daaaah mi usingizi umekata mkuu nipo macho.......unajua hamna adhabu mbaya kama silent reaction..
..jamaaa nae kafanya vbaya atatongozaje ndani ya nyumba ake tena......akomae tu aone mwisho no way out......japo kama kwel kamsemea lazma itafika siku watateteleka kwa kutokuaminiana
Cc masai dada njoo utoe advice huko mtu kanuna huko
 
Last edited by a moderator:
Isee hata mimi nimestuka imekuaje hata amtongoze huyo dada maana ni kama mdogo wa mkewe tu
daaaah mi usingizi umekata mkuu nipo macho.......unajua hamna adhabu mbaya kama silent reaction..
..jamaaa nae kafanya vbaya atatongozaje ndani ya nyumba ake tena......akomae tu aone mwisho no way out......japo kama kwel kamsemea lazma itafika siku watateteleka kwa kutokuaminiana
Cc masai dada njoo utoe advice huko mtu kanuna huko
 
Last edited by a moderator:
Da don umesoma vizuri kweli iyo issue?
Ajifanye kama na yeye haelewi kitu.., nyie wanawake sijui mnakuwaje.., unakuta mtu kanuna tuu.., shida nini husemi.., kama dozi haitoshi si useme tu ili mtu aingeze bidiii.., huyo jamaa ajitoe akili ajifanye haelewi kitu na yeye..
 
Huyo naye hamnazo. Mke wa mtu ambaye ni jamaa yako wa karibu halafu unajifanya kijogoo? Wacha yampate nyambaf
 
Ajifanye kama na yeye haelewi kitu.., nyie wanawake sijui mnakuwaje.., unakuta mtu kanuna tuu.., shida nini husemi.., kama dozi haitoshi si useme tu ili mtu aingeze bidiii.., huyo jamaa ajitoe akili ajifanye haelewi kitu na yeye..

Ushauri wa mnywa gongo utaujua tu!

Teh teh teh!
 
"you can do anything in this world as long as you are prepared for the consequences '. Quoted mama king'asti

sasa alipoanza kumtongoza mtu ambae anakula ugali wa shkamoo nyumbani kwake aliwaza nini? Ningemjua mkewe ningeenda kumsemelea
 
Ng'ombe hua achungi zizini jamaa kakosea sana
 
Mijanaume mingine mimalaya..m**o mkononi hadi inakera

Kulikuwa na haja gani ya kumtongoza? Yaani akili zake huyo mwanaume zipo matakoni.

Sorry sina ushauri
 
Habari za muda huu najua wengi mmelala lakini mkiamka mnipe mawazo ya kumshauri rafiki yangu kwani anadai mpaka mda huu hajalala hata usingizi umeruka kisa mkewe pale kwake kaja mgeni ni wifi ya mke wake yani mke wa mdogo wa mkewe inadaiwa wifi kakorofishana na kaka huko sasa kakimbilia kwa wifi yake yani mke wa jamaa yangu yapata mwezi wa tatu sasa na kinachoangaliwa zaidi ni mtoto mdogo wa huyo dada ambae anatatizo na mme wake kilichompata rafiki yangu ni kumtongoza huyo wifi ya mkewe na huyo dada kakataa sasa rafiki yangu anaisi kukataliwa huko labda mkewe kaelezwa mana mkewe hayupo vizuri kama alivyomzoea ni mtu hana raha na anaonekana anamawazo sana rafiki yangu anamuuliza mkewe kuna nini anasema hakuna kitu je inawezekana wifi kamwambia mke wa rafiki yangu hilo jambo au nini kimempata mana nyumba imekuwa haina amani ghafla wana jf tumsaidie huyu jamaa kuna jambo gani hapo linaendelea na je akiwa kajua hilo majibu yake ni nini?

Mkuu ina maana gani kusingizia watu aisee? Sasa kama ni wewe ndo umeyavurunda si useme tukusamehe bure?!!! Na nyie huwa mnajidai vijogoo mno wacha mkome, mgeni amekuja kwako wewe unataka kupita naye! kazi kweli kweli!!
 
Mkuu sio mimi kwanza sina sababu ya kuficha kumbuka hii ni fake id
Mkuu ina maana gani kusingizia watu aisee? Sasa kama ni wewe ndo umeyavurunda si useme tukusamehe bure?!!! Na nyie huwa mnajidai vijogoo mno wacha mkome, mgeni amekuja kwako wewe unataka kupita naye! kazi kweli kweli!!
 
Ajifanye kama na yeye haelewi kitu.., nyie wanawake sijui mnakuwaje.., unakuta mtu kanuna tuu.., shida nini husemi.., kama dozi haitoshi si useme tu ili mtu aingeze bidiii.., huyo jamaa ajitoe akili ajifanye haelewi kitu na yeye..

dah! Huu kweli ushauri...yaani ni shida!!!
We jamaa huwa unanipa kcheko na shauri zako ka kiparangoto vile!
 
kwanini wanawake hajui kukataa?
akitongozwa tu kazima avue chupi?
 
huyo jama yako malizevu, wacha apigwe tu..nawe unaonekana ni walewale na mitabia yenu ya ajabu!
 
Jamaa amuweke chini mkewe amwambie mgeni aliyemleta anamtongoza na yeye hamtaki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom