Rafiki yangu yamemkuta anahitaji ushauri

Rafiki yangu yamemkuta anahitaji ushauri

Bogazi Uyo videmu vipo kabao tu kama alikua anataka badili mapishi wanawake kilakona siangenda kutupia saund apate ladha tofaut au alikua anaona ufahari kutembea na mtoto na dadake k hainaga sifa uki ifanyia sifa lazma uku filisi au kuku uwa,
Na udomo zege nao ni janga hata kwa wenye pesa,
Pole yake mwambie relax life gose on!
 
Kweli bongo land kuna mambo tobaaaaaaaaaaah hadi raha.......................!!
 
Mijanaume mingine mimalaya..m**o mkononi hadi inakera

Kulikuwa na haja gani ya kumtongoza? Yaani akili zake huyo mwanaume zipo matakoni.

Sorry sina ushauri

kweli jamaa ni ma*laya hana hata akili.
Hapo amezidiwa akili na hata paka mwizi kwasababu hawez kuiba nyumban
 
Haina hata haja ya kumpa ushauri mtu ambaye hana staha kama huyo
 
Hujaelewa kidogo ngoja nikupe mfano mzuri chukulia mimi ndio mke ila nina wifi yangu ambae ni mke wa mdogo wangu kapalangana na mdogo wangu huko kaja kwangu sasa mume wangu ndio anamtaka huyo wifi yangu mie umeelewa hapo
Bogazi Uyo videmu vipo kabao tu kama alikua anataka badili mapishi wanawake kilakona siangenda kutupia saund apate ladha tofaut au alikua anaona ufahari kutembea na mtoto na dadake k hainaga sifa uki ifanyia sifa lazma uku filisi au kuku uwa,
Na udomo zege nao ni janga hata kwa wenye pesa,
Pole yake mwambie relax life gose on!
 
Kwa kuwa jamaa kafunguka kwangu kwa kutaka msaada nikamuuliza anihakikishie vipi huyo dada alikukubalia akasema kamtolea nje sasa kinachomuumiza jamaa kwa kuwa kakataliwa anaona uwezekano ni mkubwa sana wa mkewe kuambiwa hili jambo.
kwanini wanawake hajui kukataa?
akitongozwa tu kazima avue chupi?
 
Huyo jamaa itakuwa anajifunza kuchepuka, sio mzoefu. Coz hiyo ni issue ndogo tu... anaipotezea, nae anajikausha kama hamna kinachoendelea yatajisawazisha menyewe...

By the way... mke akinuna ndo mda mzuri wa kuenjoy na mchepuko huko outside. ..
 
Habari za muda huu,

Najua wengi mmelala lakini mkiamka mnipe mawazo ya kumshauri rafiki yangu kwani anadai mpaka muda huu hajalala hata usingizi umeruka kisa mkewe pale kwake kaja mgeni ni wifi ya mke wake yani mke wa mdogo wa mkewe inadaiwa wifi kakorofishana na kaka huko sasa kakimbilia kwa wifi yake.

Mke wa jamaa yangu yapata mwezi wa tatu sasa na kinachoangaliwa zaidi ni mtoto mdogo wa huyo dada ambae ana tatizo na mme wake kilichompata rafiki yangu ni kumtongoza huyo wifi wa mkewe na huyo dada kakataa sasa rafiki yangu anaisi kukataliwa huko labda mkewe kaelezwa mana mkewe hayupo vizuri kama alivyomzoea.

Mkewe amekuwa ni mtu hana raha na anaonekana ana mawazo sana, rafiki yangu anamuuliza mkewe kuna nini anasema hakuna kitu.

Je inawezekana wifi kamwambia mke wa rafiki yangu hilo jambo au nini kimempata mana nyumba imekuwa haina amani ghafla.

Wanajf tumsaidie huyu jamaa kuna jambo gani hapo linaendelea na je akiwa kajua hilo majibu yake ni nini?

Avatar yako kama ni KE vile lakini unachoandika ni kama wewe ni ME

au ndio wale SHEMALE??
 
Ili amani irudi baada ya ujinga aliofanya huyo rafiki yako wa kumtongoza mke wa shemejie; afanye hima huyo mgeni aondoke hapo nyumbani kwao ama sivyo atakosa usingizi na mwishowe atakuwa chizi!!
 
Huyu jamaa anaonekana sio mchepukaji kabisaa ndoo anajifunza. Inaonekana alitongoza kitoto kwa kusema I love you. Muoneeni huruma na kumshauri. This wahala is big de.
 
Avatar yako kama ni KE vile lakini unachoandika ni kama wewe ni ME

au ndio wale SHEMALE??

Umewaza kama mimi aisee' na kama huyu mleta maada ni she basi lazima kuna haya yafuatayo;

1) ulikuwa unamegwa na huyo jamaa' saiz mnajifanya marafiki kumbe mnavutiana pumzi tu! Ipo siku..

2) alikutokea ulimtosa' hapo anatafuta kick ya kukuweka karibu kama vile rafiki yake, lengo kukuweka karibu anajua ipo siku utaangukia pua! Na huenda hiyo issue haipo kabisa ametunga ili aone action yako.

3) vinginevyo wewe mleta maada huenda una multiple ID's sasa umekosea ukidhani umetumia ile ID yako ya ME kumbe umetumia KE!!

3) kama wewe ni KE' basi huyo rafiki yako ni boya tu! Kwanini asichepuke kwako paka atake kuchepuka ndani ya familia yake mwenyewe?
 
wala usipoteze muda, humu jf kuna midume yenye kupenda kuwa mijike
 
Mbona Tatizo dogo sana hilo... Jamaa lama vp ambadilishie kibao huyo mgeni.. Amsemelee uongo kwa mkewe kua mgeni wako huwa ananivalia kanga moko nikiwa alone hapa nyumbani so amkanye.. Nyambufuu sanaaa huyoo wee ukubwa woye huu unatongozwa.. Unaenda kusemelea
 
Umewaza kama mimi aisee' na kama huyu mleta maada ni she basi lazima kuna haya yafuatayo;

1) ulikuwa unamegwa na huyo jamaa' saiz mnajifanya marafiki kumbe mnavutiana pumzi tu! Ipo siku..

2) alikutokea ulimtosa' hapo anatafuta kick ya kukuweka karibu kama vile rafiki yake, lengo kukuweka karibu anajua ipo siku utaangukia pua! Na huenda hiyo issue haipo kabisa ametunga ili aone action yako.

3) vinginevyo wewe mleta maada huenda una multiple ID's sasa umekosea ukidhani umetumia ile ID yako ya ME kumbe umetumia KE!!

3) kama wewe ni KE' basi huyo rafiki yako ni boya tu! Kwanini asichepuke kwako paka atake kuchepuka ndani ya familia yake mwenyewe?

Mkuu unafaa kua detective.. Karibu usalamaaaa
 
We si umesema ni mke wa mtu...???! sasa mbona unafuata fuata watu humu..., una hamu ya mgegedo au.., mbwa wewe...!

Gongo mbaya mkuu, we unajidanganya ni damu ya yesu, lkn andiko limekukataza.

Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu, litiapo bilauri rangi yake ishukapo taratibu; mwisho wake huumakama-nyoka; Huchoma kama f.ira. Macho yako yatakuwa mambo mageni; na moyo wako utatoa yaliyopotoka,Naam, utakuwakama-alalaye katikati ya bahari; Au kama yeye asinziaye juu ya mlingoti.-

Utasema,wamenichapa wala sikuumia, wamenipiga wala sina habari, Nitaamka lini, nitazidi kuitafuta tena.(Mithali 23:31-35).

Wote ni mbwa walio bubu, hawawezi kulia, huota ndoto, hulala, hupenda usingizi. Naam, mbwa hao wana choyo-sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno, wote pia wamegeuka-upande, wazifuate njia zao wenyewe kila mmoja kwa faida yake toka pande zote. Husema, njooni nitaleta divai,na tunywe-sana-kileo na kesho itakuwa lama leo sikukuu kupita kiasi.(Isaya 56:10-12).
 
"you can do anything in this world as long as you are prepared for the consequences '. Quoted mama king'asti

sasa alipoanza kumtongoza mtu ambae anakula ugali wa shkamoo nyumbani kwake aliwaza nini? Ningemjua mkewe ningeenda kumsemelea
ulikua macho muda huu ? WC nini?
 
Wanaume wengine bwana, utafikuri kuna wakati ubongo unaingiwa mchwa ukapekechwa basi na akili inaisha kabisa.Wifi mtu atafute namna ya kuondika apo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom