Rafiki yangu yamemkuta anahitaji ushauri

Rafiki yangu yamemkuta anahitaji ushauri

Kama kamshtaki kwa mkewe bora, make asingemsema hata mi roho ingeuma
 
Umalaya huo.ana mke anatongoza wengne.mkewe kajua sasa...mxxxyuuuuuuu
 
Tatizo hapo sio kutongoza ila ameonyesha dharau kubwa kwa mkewe angekwenda kutongoza huko nje hata wanawake mia kama kweli hii kesi imefika naisi mwenzangu ndoa ipo mashakani hakuna jambo baya hawa dada zetu kama kuchanganywa na mtu anaemuhusu kwenye familia huwa wanatamani hata kumwekea sumu huyo aliefanya ivyo any way ngoja tusubirie mana ni bomu litaporipuka tutajua mbaya zaidi mwanamke yupo kimya tu na zake.
Umalaya huo.ana mke anatongoza wengne.mkewe kajua sasa...mxxxyuuuuuuu
 
Habari za muda huu,

Najua wengi mmelala lakini mkiamka mnipe mawazo ya kumshauri rafiki yangu kwani anadai mpaka muda huu hajalala hata usingizi umeruka kisa mkewe pale kwake kaja mgeni ni wifi ya mke wake yani mke wa mdogo wa mkewe inadaiwa wifi kakorofishana na kaka huko sasa kakimbilia kwa wifi

Em jifunze kuandika kwa koma na vituo... mkewe mgeni wifi mke wake mdogo wa mkewe wifi... duh! umenichekesha sana.... yani koma umeweka juu tu then full kuunganisha hueleweki
 
lakini si umeshaelewa alichokiandika anahitaji msaada tumsadiie afanyeje?
Em jifunze kuandika kwa koma na vituo... mkewe mgeni wifi mke wake mdogo wa mkewe wifi... duh! umenichekesha sana.... yani koma umeweka juu tu then full kuunganisha hueleweki
 
Daaaah kazi kwelikweli na wala hakuna swala la ndoa kuvunjika hapo chamsingi atoke out na mke wake huenda home anakuwa anahisi hayuko fresh kumuambia tatizo hakuna jambo linaloshindikana yote yanaongelewa na mambo yanarudi kama zamani watu wanakutwa kitandani uchi wanafanya yao na yanaongelewa yanaisha sembuse yeye hata masanga hajapiga
 
Ushauri mzuri lakini inategemea ni nani katongozwa?
Daaaah kazi kwelikweli na wala hakuna swala la ndoa kuvunjika hapo chamsingi atoke out na mke wake huenda home anakuwa anahisi hayuko fresh kumuambia tatizo hakuna jambo linaloshindikana yote yanaongelewa na mambo yanarudi kama zamani watu wanakutwa kitandani uchi wanafanya yao na yanaongelewa yanaisha sembuse yeye hata masanga hajapiga
 
Kuna watu wana moyo sana, unacheza na sharubu za simba wakati huna mbio
 
kweli jamaa ni ma*laya hana hata akili.
Hapo amezidiwa akili na hata paka mwizi kwasababu hawez kuiba nyumban

Da mkuu hapo kwenye red umeniacha hoi! Kama paka wako kafundishwa hivyo, basi wewe una paka mtu kama wale wa kwa bibi mapaka kule Mbagala!! Hawa wanaotukombea mboga kila kukicha wakikuta chungu kinakenua ni wa wapi kama siyo wa majumbani kwetu?

JF kwa kweli kuna watu wana vituko!!
 
Acheni kutongoza tongoza kwani mnapewa certificate au mbona mnajuhudi hivo.
 
Hii tabia ya kupenda ngono jirani itawaponza wanaume wengi.Ndo yame mkuta Emma Mbasha,mimi mtu akishakua karibu na mimi kifamilia,kikazi simtamani kabisa.Sasa jamaa anatafuta vita na mke,shemeji na familia ya mke. Tamaa mbaya
 
wanaume mlio ndani ya ndoa unalala kitanda kimoja na mkeo nalia na nyinyi,eti hivi mnakosa nini?.
 
Back
Top Bottom