Alipita tuu mkuu sijafanya kazi na yy nilimuuliza uomba contact tuuMmesha maliza zoezi la postikodi?
Kama mlikuwa wote mwanzo hadi mwisho wa zoezi kuna uwezekano ameku "friendzone" yani mtoto alikuwa na ukaribu na wewe japo hana hisi zozozte za kimapenzi kutoka kwako lakini wewe ndio unafosi hisia , and you don't know how to create sexual tension
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aiseeSaint Anne mkubalie kijana..kazi yako ya kujaza post code isikufanye uringe hivyo.
Chizi wewe 😂😂😂😂😂😂Saint Anne mkubalie kijana..kazi yako ya kujaza post code isikufanye uringe hivyo.
Si nimekuPM...kwahiyo hujaona PM yangu...aisee kweli unaringa.Chizi wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu dogo nimekwambia unitafute ,
Shauri yako.
SijaonaSi nimekuPM...kwahiyo hujaona PM yangu...aisee kweli unaringa.
Hili swali lako tuliache kwanza.Najiuliza anataka nini huyu??
Ngoja mkuu Kiranga atupe mwongozo namna ya kulinda legasee
[emoji91][emoji91]