Rafiki yangu mke wake ana HIV, nini afanye?

Rafiki yangu mke wake ana HIV, nini afanye?

Shukuru Mungu una kibamia la sivyo kwa umri wa huo mtoto huo msuguano usingekuacha salama
 
Habari nyengine nazo hua zinaukakasiiiii.... mleta Mada unajua huo Umri sio kabisaaa wasije kukutafuta wakakwambia ukatuonyeshe huyo mke wa mtu mwenye 15yrs ukashindwa, isitoshe huyo jamaa hiyo harusi kafungisha nani au wameowana Porini bila mashahidi? kwenye cheti cha Ndoa kuna sehemu unaandika umri sasa Bi harusi mmeandika ana miaka mingapi mpaka mfungishaji Ndoa akakubali?
 
If that is the case, that marriage is Null and void.. Your friend can repudiate the marriage contract...
 
Habari zenu wadau
msaada wa haraka unahitajika.

nina rafiki yangu wa karibu amekuja kuniomba ushauri nini afanye?

ana mwezi mmoja na wiki1 tangu afunge ndoa na binti mdogo wa miaka 15,binti huyu aliambukizwa hiv na mama yake tangu akiwa mdogo,lakn binti huyu hakuyajua haya.kwani mama yake alimficha na hakutaka kumueleza mtu yeyote siri hii.

sasa leo waliamua kwenda maabara kupima u.t.i,walipofika mke akataka apime u.ti,malaria na ukimwi ikabidi jamaa akubali

majibu yalipotoka mke akaonekana ameathirika na virusi vya ukimwi

jamaa alipoona ivo ikabidi apime na yeye,majibu yakaja kwamba hana hiv.

akamuuliza dr.je ikiwa nimeambukizwa ndani ya mwez mmoja na wiki1 hiki kipimo chenu kinaonesha,daktari akamjibu hapana bali kipo kipimo kingine kinachoweza kuonesha ndani ya muda huo,jamaa akapimwa tena akaonekana yupo fit.

sasa amekuja hapa kwangu nipo nae sasa hivi anaomba nimsaidie ushauri nini afanye,anadai mke wake anampenda sana lkn pia anaogopa kuhusu afya yake..nimeshindwa kumshauri chochote nimeona niombe ushauri kwenu kwa kuwa anafuatilia moja kwa moja hapa muweze kumsaidia ushauri.

msaada wenu
Kwa hiyo jamaa kaoa katoto ka 15 yrs old??? huogopi kua rafiki yako 30 yrs in prison inamuhusu pasi na shaka??
Ujue haya mambo mengine mnajitakia haki ya Mungu.
Shubaamiti kabisa
 
Ila baadhi ya wanaume mna moyo wa ajabu sana sasa miaka 15 anaweza kufanya jambo gani kama mke likanyooka kweli. Au anataka amnyanyase kwa sababu hana haki yake anayoijua kama mke hapo alipo.

Cha zaidi atatoka kazini yeye anacheza nage na watoto wenzie. Mwambie mwenzio huyo vibaya hivyo
 
Hapo hamna cha mke wake wala nini 15 yrs??? Achen kuzengua ,,sema nikuopoa mzigo Basi,,MPE pole yake!!.
 
Anyway akae na mkewe washauriane., kwani muda si mrefu wanavyoendelea kufanya mapenzi lazima wataambukiza labda kama watakubaliana kutumia kinga always.
Changamoto ni jee kama watakubaliana kutumia kinga siku zote je wakihitaji mtoto ambae anaweza kuzaliwa bila HIV wanafanya aje mapenzi?
Anyway ningekuwa mimi ningemshawish tuu mke wangu tuachane
Kweli kabisa unachosema mkuu na pia huwa nasikia ngono nayo ni adui wa huo ugonjwa mana kama ni mke itabidi mume kila anapohitaji haki yake awe anapewa.

Sasa huo si ndio utakuwa mwanzo wa kummaliza mtoto wa watu. Japokuwa watasema anamnyanyapaa ila ni moja ya ushauri.
 
Hilo ni gunia la misumari kalibeba kwenye kichwa chenye upara!! Kama ni mimi nalitua fasta, haina tofauti na kumpiga mswaki mamba aliyetanua kinywa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwambie ampeleke shule huyo mtoto kwanza ndo mengine yafuate
 
Mzee kila siku analipigia kelele hili suala lkn hamsikii, 15 yrs si form one Kama sio two anyway Ila akiendelea Kuwa nae Lazima aukwae vinginevyo atumie kinga always na akitaka mtoto hapo itabid achepuke au amuache mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nafikiri ingekuwa vyema ukishalaumu kuhusu umri,urudi tena kwa mara ya pili kutoa ushauri kama lengo la thread hii ilivyo.

samahanini lkn.
 
eb2c712b950c8dde985c358f54593a12.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom