Malaika wa Kifo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 4,089 Reaction score 4,734 Jul 2, 2017 #61 Gregoire's said: Ndiyo matatizo ya kuiba. Akubali tu. Kitanda hakizai haramu. Patamu sana hapo K UNAIPENDA ILA MWANAMKE HUMPENDI. Huyo hana mimba ila wazazi wanafanya hivyo ili umuoe. Kuzalia nyumbani haipendezi. VUTA MTOTO NDANI ILI UJIPAKULIE VIZURI Click to expand... Yap! Ningekuwa mimi ningekataa, yaani ningewaambia waseme ukweli tu binti yao ana mimba au wanataka nimuoe tu?!
Gregoire's said: Ndiyo matatizo ya kuiba. Akubali tu. Kitanda hakizai haramu. Patamu sana hapo K UNAIPENDA ILA MWANAMKE HUMPENDI. Huyo hana mimba ila wazazi wanafanya hivyo ili umuoe. Kuzalia nyumbani haipendezi. VUTA MTOTO NDANI ILI UJIPAKULIE VIZURI Click to expand... Yap! Ningekuwa mimi ningekataa, yaani ningewaambia waseme ukweli tu binti yao ana mimba au wanataka nimuoe tu?!
jebs2002 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2008 Posts 11,902 Reaction score 12,176 Jul 2, 2017 #62 Malipo ya uzinzi..