Rafiki yangu kasingiziwa mimba

Hahahaa utamuua mwenzio
 
Muoe tu acha kumsingizia rafiki yako!
 
Eti kasingiziwa ww ulikuwepo nyingine janja izi za kuwakataa watoto
 
Mkuu lea hiyo mimba tu na kama vipi oa kabisa..najua ni wewe unatumia kivuli cha msela hahaha
 

Aache uzinzi
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Aiseeee!!!kama nakuona ulivokua
Unasambaza assist kwa washkaj
Zako karbia wote
Zilitembea Assist Za Kutosha.
 
Zigo limemwangukia aoe tuu hakuna namna
 
sema huyo jamaa ni wewe!!!, unamwombea ushauri mtu mzima? kama aliweza kuipata papuchi atashindwa kuja hapa JF mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…