Rafiki yangu kapendwa na bibi wa miaka 77, nimshauri vipi?

Hukuwa na future nae kwa sababu ya tofauti ya umri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
45 tuu mdogo ivo bado mtamu mi nipo na 55 older na tuna enjoy kama vijana kizuri ni kwamba hana watot wanaonizid mim kiumri,hana mume wameachana hana magonjwa ya zinaa so ni full bata ila sina future nae wala sina time na ela zake ni kwa ajil ya ku enjoy life
 
Mnatafuta laana nyie vijana yaani mnalala na mama zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We dume unahitaj rungu kwanza ..kwann unafatilia mambo ya watu vijana wa sasa mna u delicious sana ......mambo ya watu unafungulia uzi
 
Hamna cha ajabu . Kama vyi yankee vyinapendwa na wanaMama wa Makamu ! Hata Vibinty vyi dogo Vinatembea na wazee wa makamu ... Mtindo wa maesha wa kisasa unatulazimisha kila moja wetu ajikunye panapomwasha...
 
Ndo maana wazungu wametuzidi; hawaendekezi umri. Rais wa ufaransi ni mdogo kuliko mke wake, pia ni mdogo watoto wa mke wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…