Rafiki yangu kanivuruga akili Mno

Rafiki yangu kanivuruga akili Mno

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Anajua kabisa yule alikuwa shemeji, tena hata kesi ndogondogo zilizotuhusu, niliziweka wazi kwake kwa ushauri na msaada wa mawazo.

Hata tuliposhindwana na huyu binti nilimshirikisha na kwakuwa nilishavumilia na kuchoka juu ya vitimbi nilivyoangushiwa na huyu binti, akaafikiana nami kuwa niachane naye.

Baada ya miezi kadhaa cha ajabu kinachonishangaza katika hii dunia ni kumuona huyu rafiki yangu akiwa karibu sana na huyu binti kwa kipindi hiki, dalili zinazoashiria kuna kitu kinaendelea namaanisha anamake love na huyu shemeji yake.

Nifanyeje jamani?

Kwani kaniharibia weekend yangu
Ahsante jigo
 
Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo

Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye

Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo

si mlishaachana? Endelea na maisha yako!!
 
pole mkuu ila cha muhimu we ni kukubali hta km akija kukutambulisha kwani yoyote ya nyuma utakayoyafikia utaishia kuumia cha msingi ganga yajayo
 
Pole sana haya mapenzi haya......Achana nao fuata ustaarabu wako huyo hakuwa wako km anaweza kuwa na rafikiyo hawatadumu maana atachukuliwa na mwingine maana inaonekana anajirahisisha
 
Inauma lakini huna budi kujikaza kisabuni kwa sasa hadi hapo baadae. Malimwengu ndo yalivyo, ukimweleza sana mtu siri za ndani mwako mwisho wa siku yeye atakufanyia mambo kama hayo.
 
Mlishaachana

Vumilia tu

Ila ndio ujue si kila anayejifanya rafiki yako ni mkweli

Si ajabu alikuwa anakumegea kitaaaaaaambo
 
si mlishaachana? Endelea na maisha yako!!

Ndo Nilichoamua Chief!...Ila Inaniuma Kuona Rafiki Yangu Wa Karibu Naonekana Anafuraha Sana Kuwa Na Huyu Binti!
 
Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo

Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye

Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo

aiseee......
una kapollonium au ka acid au hata ka bastola kadogo labda nikushauri cha kufanya..........?.......
huyo jamaa kakuning'iniza tezi dume zako........na usipokuwa makini.......atazing'oa.........chukua hatua haraka........
bora ingekuwa humjui.........
 
pole mkuu ila cha muhimu we ni kukubali hta km akija kukutambulisha kwani yoyote ya nyuma utakayoyafikia utaishia kuumia cha msingi ganga yajayo

Ahsante Chief komeka
Hasijaribu Hata Kunikaria!...eti..Anitambulishe!!?......Naweza Piga Mtu Chupa Ya Kichwa!
 
Last edited by a moderator:
mkuu kinachokuuma ni nini ....nyie si mlimwagana!!! maisha yake yanakuhusu nini wewe.....kwaiyo ulitaka asipendwe tena???

mwanafa.."ukimegewa tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume..."
WEWE NI MNYONGE
 
Si mshaachana, ulitaka mwenzio awe mtawa? hebu jikaze huko......waache wale rahaa.....
 
Last edited by a moderator:
Pole sana haya mapenzi haya......Achana nao fuata ustaarabu wako huyo hakuwa wako km anaweza kuwa na rafikiyo hawatadumu maana atachukuliwa na mwingine maana inaonekana anajirahisisha

bora Ya Binti Lakini Huyu Rafiki Yangu Naye?!..wakati Niko Nae Alijifanya Kutoiva Na Shemejie, Sasa Mambo Yamenigeuka!
 
mkuu kinachokuuma ni nini ....nyie si mlimwagana!!! maisha yake yanakuhusu nini wewe.....kwaiyo ulitaka asipendwe tena???

mwanafa.."ukimegewa tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume..."
WEWE NI MNYONGE

Kwani kamegewa basi, ye katupa wenzie wameokota...Cha kuokota si cha kuiba....wivu wa nini hapo....
 
Huyo anasthili teke la pmb huko kote hajaona hadi aje ale ulipokula wewe?
huo ni usengenyaji....
 
Inauma lakini huna budi kujikaza kisabuni kwa sasa hadi hapo baadae. Malimwengu ndo yalivyo, ukimweleza sana mtu siri za ndani mwako mwisho wa siku yeye atakufanyia mambo kama hayo.

Haya Maneno Niliyasikia Tu Katika Nyimbo..Lakini Leo Yamenikuta!
 
bora Ya Binti Lakini Huyu Rafiki Yangu Naye?!..wakati Niko Nae Alijifanya Kutoiva Na Shemejie, Sasa Mambo Yamenigeuka!

Hahahaaaaaa. ..halafu akakushauri umuache sio? Ndo za kuambiwa changanya na zako....sikupatii pichaaa....
 
Back
Top Bottom