rafiki yangu ramadhani inamalizika kesho au keshokutwa ungenialika kuftarim au unahofia gharama mimi huwa silazima kula ftarim za gharama nikipata
- Kuku wa kupaka
- mchuzi wa rosti
- sambus za nyama
- Chapati zilizopikwa kwa maziwa
- Ndizi nyama
- Meet keki
- Juisi ya matunda
- Kuku wa kukaanga
Inatosha rafiki yangu.