Rafiki yangu atawezaje kujiunga na Polisi

Rafiki yangu atawezaje kujiunga na Polisi

kitalembwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
8,280
Reaction score
22,095
Wakuu habarin za muda huu!

Naombeni msaada nina rafiki yangu anataka kwenda kupata mafunzo ya utraffic(polis wa usalama barabarani).

Hajui cha kufanya mpaka sasa naombeni msaada wa mawazo, aende wapi? post zinatoka serikalini? kwa kifupi hajui chochote, kuhusu kujiunga! elimu yake ni degree!

Samahan kwa maelezo marefu.
 
Muangalie vizuri.Kweli wewe na yeye hamjui utaratibu wake?Maombi makali yanahitajika kama huleti utani.
 
Watu weshatuma maombi zamaaani sana deadline ilikuwa 31 August... Subiri intake ya mwaka ujao, , halafu ngoja kwanza ati asomee utraffiki, hivi we degree kweli!? Anyway weweee!!! Unaenda DEPO kwanza then ndo upangiwe sio Unaenda tuuu
 
Hizi degree nyingine sijui zinatolewaje Mungu wangu.
 
Dizaini umeuliza. Hayo maswali, yani inaonyesha hauna hata form 6 class, na kama ni bachelor cjui umeisomea wapi!?? Sorry ila ila Inabidi
 
Naomba kujua siku ya interview ya polisi kwa anayejua.
 
Wakuu habarin za muda huu!
Naombeni msaada nina rafiki yangu anataka kwenda kupata mafunzo ya utraffic(polis wa usalama barabarani).
Hajui cha kufanya mpaka sasa naombeni msaada wa mawazo, aende wapi? post zinatoka serikalini? kwa kifupi hajui chochote, kuhusu kujiunga! elimu yake ni degree!
Samahan kwa maelezo marefu
Mi polisi tangu wamkamate mama yangu ambae alikuwa anauza gongo ili sisi twende shule(udogoni mwangu) nimejikuta nawachukia kupita kiasi.Nendeni jkt then mtachaguliwa kuingia polisi kwa kufanya INTERVIEW kutoka mtaani sidhani kama mwaka huu watachaguliwa kujiunga na polisi(Kuepuka kazi za kuunganishiana ndugu kwa ndugu)
 
Hakuna short cut kipindi hiki. Ni lazima apitie JKT watamchagulia huko.
 
Hivi mnajua hayo mabandiko ni ya mwaka gani au huwa mna comment comment tu kwasababu mna free basic mode
 
Back
Top Bottom