Rafiki yangu anaumwa Fungus toka miaka mitatu iliyopita

Habari madokta wa jamii.leo naomba kusaidia jambo Nina rafiki angu anaumwa sana fungus.

Imeanza miaka mitatu iliyopita,ulianzia kwenye korodani na Sasa Iko kwenye njia ya mkojo. Ametumia dawa nyingi sana na mbaya zaidi madaktari wamekuwa wengi na wamempa dawa nyingi na masindano ya kutosha kiufupi tatizo limekuwa chronic.

Anaomba msaa wa nn Cha kufanya kwani kwenye korodani bado zina msumbua na ndani ya uume zinamsumbua sana na muda mwingine hata uume wake unakuwa mwekundu.

Dawa alizotumia ninzokumbuka ni karibia zote zinazojulikana.ombi afanye nn au kama Kuna dawa ambayo ni ya kuaminika zaidi msaada plz
Ushauri wa bure na rahisi atumie Dettol ya maji apake kwenye muwasho hii n dawa na tiba kwa wenye fangasi nje ya mwili
 
View attachment 2942328
Habari!
Kwa maelezo hayo kama ulivyosema inaonekana ametumia Ciproflocacin inje., Salbactum injectio.(probably Ampiclox+Salbactam au Ceftriaxone+ Salbactam)..
Amoxyclav,Fluconazile,Itraconazole,Azythromycin,Dox,Griseofulvin na zingine..

My Concern:

Dawa ulizotumia/alizotumia ni dawa Bora sana kwa matibabu ya Bacteria na Fungus namaanisha Broad-Spectrum antibiotics pamoja na Broad-Spectrum Antifungal..

Mpaka nimeona kuna Third generation cephalosporing zimetumika sana, na hakuna matibabu au Kupona kuliko Fikiwa..

Ushauri wangu:

  • Onana na Daktari wa Mfumo Mkojo urologist Kwa mfano kwa Dar es salaam kuna Hospitali inaitwa MDM Urology Specialized Hospital..Watakusaidia kutambua Maambukizi hayo njia ya Mkojo na kuyatibu pale inapowezekana..
  • Pili Fanya culture and sensitivity na Mkojo ili kujua hasa Ni nini kinachokusumbua na kujua Dawa gani ni sahihi kwako..
  • Fanya Skin culture "Probably inafnywa kwa Hospitali za magonjwa ya ngozi ili kujua hasa shida nini
ILi kugundua hasa shida ni nini licha ya kutibiwa kwa miaka mitatu na dawa Zenye ngumu na kushindwa kuondoa tatizo..

Shukrani
CC: classic1988
Shuran
 
Habari madokta wa jamii.leo naomba kusaidia jambo Nina rafiki angu anaumwa sana fungus.

Imeanza miaka mitatu iliyopita,ulianzia kwenye korodani na Sasa Iko kwenye njia ya mkojo. Ametumia dawa nyingi sana na mbaya zaidi madaktari wamekuwa wengi na wamempa dawa nyingi na masindano ya kutosha kiufupi tatizo limekuwa chronic.

Anaomba msaa wa nn Cha kufanya kwani kwenye korodani bado zina msumbua na ndani ya uume zinamsumbua sana na muda mwingine hata uume wake unakuwa mwekundu.

Dawa alizotumia ninzokumbuka ni karibia zote zinazojulikana.ombi afanye nn au kama Kuna dawa ambayo ni ya kuaminika zaidi msaada plz

Unayeumwa ni wewe mwenyewe, kwanini unamsingizia rafiki ako?
 
Back
Top Bottom