Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,653
- 20,988
Rafiki yangu wa ukweli tena mwenye mabadiliko yanayoonekana dhahiri ananipa mawazo hayo. Ananiambia utakaponunua nyumba huko na ukaikodisha nyumba hiyo huweza kukupa 10% ya puchasing prices kila mwaka, ambacho ndicho kiasi halisi kinachokubalika duniani ambacho assets hutaliwa kutupa, kulingana na assets tunazokuwa nazo,
so am in quizz!.
NB: Yeye binafsi amejikodia apartment Masaki na anaishi kwa furaha kweli huku akijenga banda lingine kidogo kidogo na biashara za hapa na pale.
Is this formula really applicable? Kabla sijafanya maamuzi magumu.
N.b:-Naamini hapa nitajifunza jambo kuhusu mindset zetu watanzania na umuhimu wa kuwa na exposure.