BongeMwepesi
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 125
- 83
ushauri wako??Huyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!
...ushauri mwingine unatia wasiwasiHuyo mpenzi wako ulimtoa bikra au ulishakutwa kadinywa????.....ishi na mwanamke kwa akili na usipoangalia waweza kugombana na kila mtu mpaka wazaz wako!!!!
...ushauri mwingine unatia wasiwasi
ushauri wako??
Mwanamke wa hivyo si wakuamini,hebu jiulize kama atakwambia kila atakaye mtongoza.
Kuwa makini anaweza kukugombanisha na kila mtu.
Sioni sababu ya kukwambia kama ana uwezo wa kumkataa.
ukisikiliza kila neno unaloambiwa na mwanamke utajikuta unaishi dunia ya kwako mwenyewe,,,,, hata maneno ya Mungu yanasema ishi na mwanamke kwa akili, anaweza kukuvuruga hapo ukaja juta,..... aliowakubalia amekwambia kwa nini huyo?,,, na je unajuaje yawezekana anataka ugombane na rafiki yako ilia apate nafasi nzuri ya kuonana nae?
na je unaweza thibitisha hayo anyosema huyo bidada? think beyond what you hear brother? their just words....
Ukute anataka biashara afanye yeye na bwana ake......sasa hyo ni sababu yakumgombanisha!!!!!
Kuna wimbo unaitwa "siku hizi hawalali"
mmmmmh wanawake pasua kichwa sana bora niwe na nunua papuchi tu nikimaliza haja zangu hatutafutani