naomben niulize kdg.
Hivi kwani hao watumishi wa mungu sio Marijal km ilivyo kwa wanaume wengine?.
Na kama jibu ni Marijali je hzo shida za kukidhi haja za miili yao wanazitatua kwa njia gani km hawaruhusiwi kungonoka mana ikumbukwe mwanaume kufuga sana genye zinaathir sometime hta akili haiwi kawaida(hili wanaume tunajijua tunakuwa na hali gan).
Binafsi sitaki kuamini km watumishi wa mungu 'hawatindui'. wanayafanya km kawaida ila kwa siri ya hali ya juu.
Mara ngapi tunaskia 'za chinichini' wanawamega waimba kwaya, wahudumu wa kanisa, wanafunzi na wengineo.
kwahilo sisi wengine mtuacheeee