Najua ni wewe lakini lazima nikupe mbinu. Fanya hivi, Nenda kasome ratiba ya siku za kuruhusiwa kumwona na saa zake. Usiwe wa kwanza kwanza bali subiri waende wengine haswa wamama wazee wawili watatu. Nawe uingie kuwa unataka kununua rozari. Jifanye kuwa bikra wala hujui lolote. Vaa nadhifu sana na kistaarab. Akiisha kukuuzia, mwombe baraka na upige magoti kuonesha kuwa ni mshamba flani hivi. Nakuhakikishia, siku hiyi hiyo atakuomba namba. Mwoneshe kism cha mchina usiende na latest mode. Mwambie hujui kuingiza hata namba kwani babako ni mkali sana na anakuchunga. Atakupeleka kwenu kwa gari lake. Siku nyingine kaandikishe misa kwake. Hizo ndio mbinu na ukimpata usiache kutukumbuka katika ufalme wako