Jamani mi sjasema tulikua tunasoma kutwa nmewaambia tumesoma ifunda tech mm na huyo rafk yangu au kwakua tulikua twaenda masjid..ni shule ya bweni jaman nieleweke yeye kwao ni singida na mm kwet ni dar tumekutana ifunda...ally kwa sasa yuko ubungo chuo cha maji..mauzauza hayaon kwa sasa coz alivoendaga likizo akaenda na kile kitab..akawaeleza wazaz wake wakakichoma moto nayeye akasomewa dua na shekh had leo yuko vzur..hii co uongo nikwel kabisa coz co kwamba vyote vilivyomtokea kaniadithia no vingine nmeviona mwenyewe alivokua anaduplicate mi nlikua narecognize kabisa..yan jamaa alikua yuko speed xana unapomuacha sehem na unapoenda kumkuta yan dah aviusiani kabisa...iv kwamfano wana jf wewe labda unaingia labda nyumbani kwenu au kwako afu pale balazan kwako ukamkuta labda mdogo wako anapiga stori na wenzie afu unazama chumbani kwako unamkuta yeye mara ya pili apo utasemaje..bac ndo mazingira km hayo asa nyie mnasema chai tena..kitabu kinaitwa the magic book cjui vile...na mle libraly hata km kilikua kinahamahama uwez jua alipokikuta ndo kilikuwepo jana yake? Pengine na mle libraly kilikua kinahama..