Rafiki yangu ametembea na shemeji yake

Rafiki yangu ametembea na shemeji yake

Nina rafiki yangu ambaye amemuoa mtoto wa shangazi yangu lakini cha ajabu mke wake alimleta mdogo wake juzi kati rafiki yangu akamuhadaha kwa pesa na nimewafumania usiku was manane chooni wakilimega tunda la Adam.sasa najiuliza Huyu jamaa anaitakia ndoa yake mema kweli?wanawake wote hapa mjini hadi utembee na shemeji yako.Hii ni sawa kweli?
mmbea katika ubora wake
 
Kakae kwako kisha wakija kulambana huko ndo utuletee uzi wako hapa, ila kama unakaa kwa shemeji then shut your mouth usije tupiwa zubeda lako nje mchana saa 7.
 
Hivi wametembea kilometa ngapi vile
 
Kwa hyo unamuonea wivu jamaa kwa kufaidi tunda la shem wake?
 
What makes the really man to be.?Its a Dick I am a man and Am proud If you call me a big dick hommie.
She-males got dicks too, player. A Dick has no class whatsoever, son. When it's in need, it settles for any chacha. Stanky ones, O.P.P.s, don't matter.

She-males got dicks too, player. Every man must have one, but not everyone who has it is a man. A Dick has no class son. When it's in need, it settles for any chacha. Stanky ones, O.P.P.s, don't matter.
 
Nina rafiki yangu ambaye amemuoa mtoto wa shangazi yangu lakini cha ajabu mke wake alimleta mdogo wake juzi kati rafiki yangu akamuhadaha kwa pesa na nimewafumania usiku was manane chooni wakilimega tunda la Adam.sasa najiuliza Huyu jamaa anaitakia ndoa yake mema kweli?wanawake wote hapa mjini hadi utembee na shemeji yako.Hii ni sawa kweli?
Dude!
You are in a dysfunctional unit.
Una matukio kweli!
 
Nina rafiki yangu ambaye amemuoa mtoto wa shangazi yangu lakini cha ajabu mke wake alimleta mdogo wake juzi kati rafiki yangu akamuhadaha kwa pesa na nimewafumania usiku was manane chooni wakilimega tunda la Adam.sasa najiuliza Huyu jamaa anaitakia ndoa yake mema kweli?wanawake wote hapa mjini hadi utembee na shemeji yako.Hii ni sawa kweli?
Hiyo dhambi itamtafuna maisha yake yoote, hicho ni kidonda cha kisaikolojia tayari. Trust me; wataendelea huo mchezo na shemeji yake mpaka watakapofumaniwa na wife wake na hapo ndo utakuwa mwanzo wa laana.
 
sasa kuna ubaya gan wa kutembea na shemeji yake mm mwenyewe najiandaa kutembea na shemej yangu kutoka mbagala mpaka kariakoo
 
mkuu hv ni kweli unaishi kwa shemeji yako mbona kama ndo ilivyo hebu funguka kidogo...!!!
 
She-males got dicks too, player. A Dick has no class whatsoever, son. When it's in need, it settles for any chacha. Stanky ones, O.P.P.s, don't matter.

She-males got dicks too, player. Every man must have one, but not everyone who has it is a man. A Dick has no class son. When it's in need, it settles for any chacha. Stanky ones, O.P.P.s, don't matter.

br nb, shemales are myths only
 
katembea na shem wake walitoka wapi kwenda wapi au kutembea kupi unakomaanisha wewe?
hilo tunda walilimega kabla au baada ya kutembea?
 
Back
Top Bottom