dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
Nina rafiki yangu ambaye amemuoa mtoto wa shangazi yangu lakini cha ajabu mke wake alimleta mdogo wake juzi kati rafiki yangu akamuhadaha kwa pesa na nimewafumania usiku was manane chooni wakilimega tunda la Adam.
Sasa najiuliza huyu jamaa anaitakia ndoa yake mema kweli?
Wanawake wote hapa mjini hadi utembee na shemeji yako.
Hii ni sawa kweli?
Sasa najiuliza huyu jamaa anaitakia ndoa yake mema kweli?
Wanawake wote hapa mjini hadi utembee na shemeji yako.
Hii ni sawa kweli?