Kind
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 247
- 40
Mfano u kijana mfanya kazi umepanga chumba kimoja. Anakuja friend wako anaomba hifadhi kwa muda. Siku moja ukiwa umelala umechoka rafiki yako katikati ya usiku anakuja na malaya wale wanao jiuza anaomba umpishe uende kwa jirani ili azini nae. Niambie kama ni wewe utafanyaje?