Rafiki yake Putin wa Italia afrika dunia

Rafiki yake Putin wa Italia afrika dunia

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,020
Reaction score
111,422
Silvio Berlusconi aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Italia na moja ya marafiki wa karibu wa Vladmir Putin ameripotiwa kufariki dunia.

Kiongozi huyu bilionea alijulikana sana kwa kupenda starehe na kuonyesha maisha ya ukwasi mkubwa aliokuwa nao. Ni moja ya viongozi wa Ulaya waliokuwa na mahusiano mazuri na Putin.

Pia anakumbukuwa zaidi kwa kuitumbukoza Italia katika mdororo mkubwa wa uchumi na mgogoro wa madeni na sekta ya fedha mwaka 2012.
 
Edit hapo weka picha wakiwa pamoja na putin mkuu tafadhali fanya hivyo
 
.
20230406_223931.jpg
 
Back
Top Bottom