Rafiki wakike

Rafiki wakike

hizi hangover are you a virgin too?hahahahahahhahahaha ajue kiingeraza & awe sure no mchepuko kwako
 
Mwingine anataka anayejua kiingereza, mwingine anataka aliyefaulu PCB, mbona tunaloo
 
wanawake wavumilivu, wenye upendo, huruma na hofu ya mungu cku hizi hawana soko (kwa wanaume wasio na malengo). Wasomi ndo habari ya mujini
 
Kwani hakuna wasomi wenye hofu ya Mungu na uvumilivu pia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom