Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Acha kukurupuka soma mistari vizuri na kuelewa.... Good bra is hard to find... ndo maana wewe yako umeamua uyaachie yajisimamie yenyewe kunako... kwani umekosa ya ubora/uzuri wa kukufaa eeh?!😛eep:Duuh hiyo brazia mbona sioni support yeyote maana yamelala doro... kama hii inapply kwa wale rafiki close to heart but useless nitakuamini.!