Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
1. sikuingia guest house.
2. sikufanya nae LOLOTE
tulipokutana ni restaurant pia ambako ni sehemu ya wazi sana. hiyo guest iko mbali na hapo yeye ndo alisema kwamba alichukua chumba huko upo hapo!
mnaozungumza humu ndani hamuelewi kitu kimoja....
mwanamke hata awe mapepe kiasi gani,huwezi kumtongoza kama unamjua mumewe
na unamheshimu na kumuogopa....
huyo shemeji hamheshimu rafiki yake....
ana dharau kwa rafiki yake
mimi binafsi siangalii kama mke wangu ni malaya au sio malaya
ilimradi wewe ni rafiki yangu na umemtongoza,basi urafiki unakufa
nini nitafanya juu ya wife hayo ni maamuzi mengine
Ni sawa kabisa The Boss
kama unaheshimu urafiki wenu kwanini utake kumzunguka rafiki yako
Huu ni ushetani uliopitiliza .
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.
kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.
wanaume wajanja hutongoza wake wa marafiki ambapo wanajua huyo ni rahisi kumpata angejua hawezi kukupata wala asingesumbuka.
Hivi rafiki wa mume wako inakuwaje awe anakupigia wewe simu?
Kwangu haimake sense hata kidogo. Rafiki wa mume ni rafiki yake yeye na ibaki hivyo. Na rafiki zako wewe mwanamke wasiwe na mawasiliano na mume wako na ibaki hivyo
ayaa bana.none of the above mr. Naona tu mhaya huyu ana lake.
kidogo tu! Jamaa atikise nyavu,ila mashambuliz butu,siju mech itaishaje utabiri wangu ni mojamoja.Jamaa alikuwa wamekaribia maguu 18!
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.
kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana.
Mwenyewe kaoa, ana mtoto mmoja.
Sasa majuzi alinicall akasisitiza nimwone ana shida sana ya kuongea na mie. nikamwambia tungekwenda na Mr weekend, akakataa akadai shida yake ni siku hiyo hiyo. mi kwa heshima kabsaaa nkakubali nikijua ni shida ya kweli. nikajitoa job mapeema ili nikamwone.
Kufika alikosema nimkute nikakuta mwenzangu ashaanza kuutwika mtungi, kwa vile mi si mnywaji wa pombe nikaagiza maji yangu. Nkamuliza Shem kulikon? hakyanani mi sikuamini kama alimaanisha manake mshenzi yule eti na chumba alishalipia ili .... jamani jamani mi hata sijui nimwambie mume wangu au nifaneje manake nimekwazika sana kwa kweli. sina hata raha mie manake mtu bora hata angekua simjui au hana ukaribu na familia sasa huyu wako marafiki na ni mtu tunaemvalue kama rafiki kumbe ajenda zake mbovu.
kwa hali hii yani duuh sijui kwa kweli.
Naomba jibu jamani,
Kwamba mwanamke hawezi kukutana na rafiki wa mume wake hadi aombe ruhusa?
Na mwanamumeje? Akitaka kukutana na mke wa rafiki yake ataomba ruhusa pia?