Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Yaan ananitaka Na hataki kunipoteza Na mwezi ujao alikua anataka anipangie nyumba Na kunifungulia biashara yaani mmh

Ningekua mi ni mwanamke kwa kweli nikipata mtu wa kunijali kiasi hicho nisingepoteza mda wangu kuolewa afu baadae nije kujuta kuolewa

Ila kwa mazingira aliyokupata huyo mwanamme usiwekee mazingira ya moja kwa moja nia yake ya kukuoa, kuishi na mtu ambae anajua background yako wakati mwingine inaumiza kwa baadhi yao, unaweza kua una kila sifa ya kua mke lakini akikumbuka alikokutoa anaumia kimoyomoyo.
 
Je, ni huyu apa??? Nataka kukusaidia kitu.
Mkuu ukileta hiyo anaipotezea wakati yeye mwenyewe aliishasema huyo jamaa hajui mambo Leo hii anatudanganya hajawahi kuonjwa. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu haswa hapa JF.
 
Huyo jamaa Nahisi katumwa na babu akuchunguze, utakosa mwana na maji ya moto
 
Mkuu ukileta hiyo anaipotezea wakati yeye mwenyewe aliishasema huyo jamaa hajui mambo Leo hii anatudanganya hajawahi kuonjwa. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu haswa hapa JF.
Kabisa mkuu... Sasa porojo zote za nini, kuteka attention za watu kwa fix..
 
Kabisa mkuu... Sasa porojo zote za nini, kuteka attention za watu kwa fix..
Jamani ile uzi haina mana yenikuta kwake, ni mambo amabayo yapo katika jamii inayotunguka jamaniii sio kila thread ni mtu yamemkuta Ila tuu unaangalia Na jamii yenye inatuzunguka
 
mchepuko ulipo acha kunipiga mizinga kisha akanirudishia suruali niliyoiacha ghetto kwake sikumuuliza zaidi kwani nilimuelewa kiutu uzima.
 
Mmhh!! ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…