Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

Wewe olewa tu na huyo kijana, mimi mbabu sitaona so, ndiyo nitapata muda wa kiimarisha familia yangu. Sitafanya kama yule aliyeruka kutoka juu ya Gorofa jana pale makutano ya Bibi Titi na Morogoro road. si ungeniambia tu? kwa nini umekuja huku?
 
With all due respect, huyo kijana sio muoaji bali ni muonjaji tu.
Anajua unatoka na mfanyakazi mwenzake na yeye anatangaza kukupenda tena anataka mpaka uwe mke?!
Fanya maamuzi taratibu kabla ya kumpa babu mkono wa kwaheri.
Kuna watu hutumika kama daraja la mafanikio usimkatishe mwenzio tamaa wengi tumeolewa tukiwa hatuna bikra means tulikua tunatoka na watu wengine wanajulikana lakini mwanaume mwenye malengo ya dhati na wewe hata akukute kwenye dangulo acha hiyo ya kukutoa kwenye penzi la mchepuko atakuoa tu labda kama na yeye uyo bwana awe m babaishaji
 
MBONA UNAJIHAMI KUHUSU COMMENTS..HAHAH WEPOKEA ZOTE TENA NAMI NILIJIPANGA NA BONGE LA JIBU ILA BASI NIMEPOA TU
 
Ushauri hu mzuri..
exceptional lady Kwanza "AsstaghafirruLLah" sana ili utubie yaliyopita (toba inakubalika anytime) pili, sitisha upuuzi huo kwa uwazi mawasilianao na Old Boss, ili ufocus ktk maisha yako na mustakabli wa kifamily !! Laa sivyo utatumika kama chombo cha umma !! Dunia inaenda haraka utachokwa bure !!
Good luck
 
Then if that the case you have met an exceptional gentleman, proceed.
 
Well, sikuwa namkatisha tamaa nilikuwa nampa hints tu. Kwenye maisha lolote linaweza kutokea na watu hawafanani LadyAJ.
 
katika maisha kuna aina mbali mbali za binaadamu ambao Mungu hukukutanisha nao ili kukukamilishia kukomaa ki akili. kuwa makini na huyo mpenzi mpya maana wanaume huwa tunatabia ya kutamani vitu vilivyoundwa na wenzetu. kama huo mchepuko wako ni muislamu mwambie akuoe....usimpe nyapu huyo mpenzi mpya maana anaweza akawa ametumwa na huo mchepuko wako. jirizishe kwa umakini kabla hujafanya maamuzi magumu. NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUPITISHE SALAMA KATIKA HILO JARIBU... maana kwa mbali naona kuna kukosa vyote ama kumpata mume.
 
Sasa tayari huyo rafiki WA mchepuko wako umeanza kudet nae unaogopa nini sasa. Siuendelee na mipango yako
 
Olewa shoga yangu! Olewa mama,yaonekana wewe ni mdada mzuri sana mtumie uyo mume wa mtu kama daraja lako La wewe kukutana na uyo jamaa, ila moyo wako uamue kwa kabisaa usije kumchezea picha baba wa watu ukawa unazunguka m buyu baadae, mwambie ukweli mwambie hutaki maisha ya kuwindwa (maana kutembea na mume wa mtu yataka moyo sana) tena unataka kuwinda watakao kuibia mumeo maana ukila vya wenzio nawe vyako vitaliwa tu
 
Odeee kunyonga mwishooo shoga angu.. tunazeeka lol!
 
maneno kuntu
 
Wewe olewa tu na huyo kijana, mimi mbabu sitaona so, ndiyo nitapata muda wa kiimarisha familia yangu. Sitafanya kama yule aliyeruka kutoka juu ya Gorofa jana pale makutano ya Bibi Titi na Morogoro road. si ungeniambia tu? kwa nini umekuja huku?
Hahahhaha Na wewe naweee
 
Naona dalili za kuendelea kuwa mchepuko hata baada ya kuolewa na kijana,ukionja nyama ya mtu hutaiacha asilani
 
True say my dear
 
Thanx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…