binti wa kikwere
Member
- Sep 5, 2014
- 67
- 34
kwa hiyo?mnagegedana?
binti sayuni tena.nisamehe mamaUnashusha credit nilizokupa
binti sayuni tena.nisamehe mama
kweli aiseeeeeeeeeHuyo ni mwanamke anashukuru kwa kupata rafiki wa kike mtu mzima wa kubadilishana mawazo... Kusaidiana katika shida na raha
Unashusha credit nilizokupa
Hivi vitu vya kupeana credits ndo vinawafanya watu wengi humu wawe posers, inasababisha kuongeza ugumu wa kupata marafiki wa kweli sababu wanakuwa fake, unless afungue Id nyingine na Id hii aendelee ku-maintain credits. Samahani kwa kuparamia post yako anyway!
binti wa kikwere mi nataka niwe kaka yako. kwenye shida na rahaNimepata Rafiki wa kweli humu Ndani (dada wa makamu) baada ya kuandika kuwa nahitaji marafiki na hivi sasa tumekuwa kama ndugu tunasaidiana kwenye shida na raha.Kumbe hapa Jamii Forums ni tofauti na nilivyokuwa nafikiri zamani sio wote waliopinda wengine ni watu makini kabisa.
Aiseee mimi credit zangu zikoje kabla sijakoment nataka kuziongeza nisije nikajikuta nashushabinti sayuni tena.nisamehe mama
Aiseee mimi credit zangu zikoje kabla sijakoment nataka kuziongeza nisije nikajikuta nashusha