Rafiki wa kiume

Aiseeee
Smile mbona timu zote unazo zipenda yani stress tupu? Duuu yani mashabiki wa Arsenal na simba huwa wanatia huruma san!

kwani wapenzi wa arsenal si wapo?
 
Last edited by a moderator:
no.1,2&12 cwez kabsa.....&haviwezekani ....nenda kanisani kwa miaka 7 utampata.never say never.
 
Wabaya wana roho nzuri me nawapenda sna ila wazur wanamashauz meng sanuka ndugu
 
....Interest zinafanana sana aise mpaka naona kama umekopy za kwangu......hasa hapo kwnye movie...soka....lakin sasa kukaa bila kukamuana ni ngumu sana(ukweli)
 

nahisi kuna vigezo vingi naft ila kile cha kutokuwa na mpenzi elezea kidogo busara iliyojificha hapo mama
kisha drop e mail (mkubwabattle@yahoo.com)
 
Ni vizuri kutufurahisha , coz mie nimefurahi aisee. endelea kuunda hoja za kutupa raha kama hiz hapa JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…