Rafiki wa kishua anaibiwa

aisee nipe namba ya huyo demu wa kishua, anagalau nizifaid kabla "baba mkwe" hajatumbuliwa
 
Rafiki wa kweli husema ukweli na kuacha unafiki. Ukweli utajulikana tu, na akijua kuwa ulikuwa unajua itakuharibia zaidi.
 
Mwambie tu huna cha kupoteza


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiki kitu kimewahi kunitokea, best yangu wa nguvu alinichukulia boyfriend wangu na baadae tuligombana mwishowe tulipoteza wote. Urafiki uliisha siku hiyohiyo na kila mtu na 50 zake. Wanawake sijui tukoje, yani mwenzio yupo pale nawe unajichomeka hapo hapo. Mwambie tu kinuke shoga yangu maana best ataletewa magonjwa na mahamuma arudiaye makombo.
 
Ushauri wangu tulia tu usiwaambie mambo yatajianika yenyewe dunian hakuna siri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....ya NGOSWE mwachie NGOSWE au utakuja juta kwa kuambiwa ni wivu wako tu ndiyo unakusumbua ili uwavuruge.

 
Achana na hiyo ishu kama ni lazima sana umueleze basi usifanye moja kwa moja, tengeneza mazingira ajue.
 
Kweli but naoana kama ndo nafanyiwa miye

Sent using Jamii Forums mobile app
Inauma sana kuona rafikiako anasalitiwa. Ila m naona ungemwambia ila utafte namna nzuri ya kumfikishia ujumbe siyo ukurupuke tu.
Kumbuka huyo rafkienu wa tatu waliachana na huyo jamaa miaka3 so huenda kashabanduliwa sana huko, elewa magonjwa n mengi so unaweza kumuokoa huyo rafki yako wa kishua na magonjwa na baadae akakuona we ni rafiki yake wa kweli sana.
Lakn usipomwambia then akagundua mwenyewe hakika atakuchukia mno na ww atajua n walewale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…