Rafiki wa kishua anaibiwa

Rafiki wa kishua anaibiwa

teelyz

Member
Joined
Nov 14, 2018
Posts
45
Reaction score
44
Habari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu sasa huyo ndo mimi,

Kwanza kabisa hao wenzangu wawili warefu afu mimi kafupi ,pili wa kishua mweupe na huyo mwingine mweusi na wote ni warembo yani nikitembea nao mi naonekana kama msindikizaji na vile am ugly naachwaga tu kwny mataa muda mwingi, huyu wakishua na mimi we been friend for like 7 years,huyu mwingine tumuite Asha,yeye alikuja akatuta then akachukua nafasi yangu na mimi sio mtu wakutengeza new friends so nikastick tu hapo for company.

Story ni hivi huyu wa kishua ana mpenzi na wamekuwa wote kwa mwaka tu sasa na yeye ndo amekuwa akimuhudumia huyo mwanaume kwa asilimia sabini,mwanaume yeye anafanya biashara ya kutoa na kuweka pesa kwenye mitandao,na biashara hiyo huyu wa kishua ndo kampa mtaji.

Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani.

Wakishua licha ya kwamba now mimi sio her best friend kivile but ananijali nikiwa na shida mbalimbali na always amekuwa kati ya watu wanaonisaport sana kwenye mambo nayofanya,actually mimi nampenda sana kama mtu wangu wa karibu na kama dada coz kanizidi miaka 2,sasa baada ya kujua hii situation natamani kumwambia huyu wa kishua kuhusu huu mchezo anaochezewa but nashindwa nianzie wapi coz hapa kati nilikuwa najitenga nao mpka wakishua aliniuliza kama naona wivu kuhusu ukaribu wak ,kitu ambacho kama mwanadamu mwny hisia kiliniumiza so nawaza nikimwambia si atajua kweli nna wivu,!wadau ushauri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu sasa huyo ndo mimi,
Kwanza kabisa hao wenzangu wawili warefu afu mimi kafupi ,pili wa kishua mweupe na huyo mwingine mweusi na wote ni warembo yani nikitembea nao mi naonekana kama msindikizaji na vile am ugly naachwaga tu kwny mataa mda mwingi, huyu wakishua na mimi we been friend for like 7 years,huyu mwingine tumuite Asha,yeye alikuja akatuta then akachukua nafasi yangu na mimi sio mtu wakutengeza new friends so nikastick tu hapo for company,
Story ni hivi huyu wa kishua ana mpenzi na wamekuwa wote kwa mwaka tu sasa na yeye ndo amekuwa akimuhudumia huyo mwanaume kwa asilimia sabini,mwanaume yeye anafanya biashara ya kutoa na kuweka pesa kwenye mitandao,na biashara hiyo huyu wa kishua ndo kampa mtaji,
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani ,

Umeandika vizuri sana teelyz

Keep it up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Live yo life,
We baki kwenye msitari wako,ukisema 2 kwanza hatokuamin na ndo utakua mwanzo wa kuvunjika kwa urafk wenu.
Isitoshe keshaona kama umeingiwa ka wivu fulani,so ukisema ataamini moja kwa moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau,mimi ni binti nna marafiki zangu wawaili mmoja wa kishua sana mimi na mwingine ni maisha ya kati tu,kwenye urafiki wa watu watatu lazima kuna yule mmoja ye yupo nyumanyuma tu sasa huyo ndo mimi,
Kwanza kabisa hao wenzangu wawili warefu afu mimi kafupi ,pili wa kishua mweupe na huyo mwingine mweusi na wote ni warembo yani nikitembea nao mi naonekana kama msindikizaji na vile am ugly naachwaga tu kwny mataa mda mwingi, huyu wakishua na mimi we been friend for like 7 years,huyu mwingine tumuite Asha,yeye alikuja akatuta then akachukua nafasi yangu na mimi sio mtu wakutengeza new friends so nikastick tu hapo for company,
Story ni hivi huyu wa kishua ana mpenzi na wamekuwa wote kwa mwaka tu sasa na yeye ndo amekuwa akimuhudumia huyo mwanaume kwa asilimia sabini,mwanaume yeye anafanya biashara ya kutoa na kuweka pesa kwenye mitandao,na biashara hiyo huyu wa kishua ndo kampa mtaji,
Lakini sasa nimegundua kwamba kumbe huyu mwanaume na huyu rafiki mwingine walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka kama 3 kasoro ila tu walitengana siwezi jua sababu but hiyo sio shida shida ni kwamba wameanzisha mahusiano upya ya kimyakimya wanamzunguka huyu wakishua kama mnavyojua wanasemaga mahawara hawaachani ,
Wakishua licha ya kwamba now mimi sio her best friend kivile but ananijali nikiwa na shida mbalimbali na always amekuwa kati ya watu wanaonisaport sana kwenye mambo nayofanya,actually mimi nampenda sana kama mtu wangu wa karibu na kama dada coz kanizidi miaka 2,sasa baada ya kujua hii situation natamani kumwambia huyu wa kishua kuhusu huu mchezo anaochezewa but nashindwa nianzie wapi coz hapa kati nilikuwa najitenga nao mpka wakishua aliniuliza kama naona wivu kuhusu ukaribu wak ,kitu ambacho kama mwanadamu mwny hisia kiliniumiza so nawaza nikimwambia si atajua kweli nna wivu,!wadau ushauri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe namba yake mm nitakusaidia kumwambia usiogope.

Mwambie halafu mshauri mpige foursome tu. Itapendeza na urafiki hautakufa. Ni kitu nzuri sana hasa wadada wakiwa marafiki kama nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sisi waislamu tumeambiwa, ukiona dhuluma iondoe kwa mkono wako, ukishindwa ikemee, na ukishindwa yote hayo basi ichukie ingawa kuichukia ni udhaifu wa imani.

Kwako wewe angalau umeichukia ila inaonekana you can go one step further, kuikemea au kuiondo so ongea na yoyote kati yao ( hasa huyo rafiki wako) wakikuona unaonea wivu na urafiki wao basi kaa pembeni wakija kutibuana wenyewe wewe utakuwa haupo tena.
 
utamuharibia jamaa yangu mwache aendelee kula wote wakati anatafuta wa kuweka ndani
 
Back
Top Bottom