Wa Nyumbani
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 438
- 65
Wana JF hebu nifahamisheni. Mimi nina rafiki yangu wa kike ambaye urafiki wetu ni katika kazi, kushaurianan kusaidiana kwa ukaribu sana, lakini sio mpenzi wangu. Jamaa yangu anakataa ati haiwezekani na analazimisha kuwa huyo ni mpenzi wangu. Kwani wana jf hiyp haiwezekani? kuwa na urafiki wa karibu na mwanamke au mwanaume bila kufanya mapenzi haiwezekani? Nawasilisha.