😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mpe hizo pesa unaweza hata usizile...tukakuota mitaa ya lumumba, ukazikwa na watu 10 tu tena nyakati za usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aspokulipa unamwambia mumewe au mjumbenaunga mkono wazo la kumkopesha kwa muktadha huo tunza hizo sms za charts hasa meseji kuhusu hilo ombi